Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
KCB wana branch huko nini? Naskia Equity anawateka tu! 🤣 🤣 🤣We kichaa mimi huwa sikoseagi yaani wewe ni kichaa Kim Dawizzy typically take that to KCB
KCB wana branch huko nini? Naskia Equity anawateka tu! 🤣 🤣 🤣We kichaa mimi huwa sikoseagi yaani wewe ni kichaa Kim Dawizzy typically take that to KCB
Tz hamna kitu kwa ground[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81].....Camp toyoyo stadiumView attachment 1768161View attachment 1768162
Huu uwanja mtaurudia mara ngapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Every day all the time ni hii hapaNot offer, iko hapo hapo. Everyday, all day! 🤣 🤣 🤣
Huo uwanja kule juu umeandikwa "uwanja wa CCM" yaani hivi vyama vyenyu vya kisiasa vina viwanja? Duh! 😳 🤣🤣🤣🤣
Unataka unijibu hapaHuu uwanja mtaurudia mara ngapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tulia wewe, sibishani na boya! 🤣 🤣 🤣Msaidie mwenzako sasa unasubiri nn 🤣🤣
Jikite kwenye mada Mzee kama mada imekushida neda kwa AkotheeHuo uwanja kule juu umeandikwa "uwanja wa CCM" yaani hivi vyama vyenyu vya kisiasa vina viwanja? Duh! 😳 🤣🤣🤣🤣
Kuna uwanja mkubwa africa nzima umeanza dodoma kujengwa cost yake ni 100m usd na utaweza handle watu elf 90 mpaka laki
Huu nao ni uwanja?..kama umeishiwa sema tuu...Green stadium Kericho
Mzee mada huiwezi. Ni bora utulie. Hizi ni dalili za kushindwa.Mchina anawaletea mkopo usijali! 🤣 🤣 🤣
Nijibu kwanza hapa tuendelee. Umeingia Nairobi?Huu nao ni uwanja?..kama umeishiwa sema tuu...Green stadium KerichoView attachment 1768185View attachment 1768186
Thika stadium
Ruto kapiga 4b za kemsa tender🤣🤣🤣🤣
Sema kwenye viwanja hampo kabisa...sasa nikingia Nairobi siutakimbiaNijibu kwanza hapa tuendelee. Umeingia Nairobi?
View attachment 1768187
Tanzania billionaire ni mmoja, na ka wasema wale wasiosema hela zao basi KE billionaires wako wengi!!! 🤣 🤣 🤣kenya haina billionares [emoji1787][emoji1787]
Kenya 4 stadiums, Tanzania 20 stadiumsSema kwenye viwanja hampo kabisa...sasa nikingia Nairobi siutakimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivyo viwanja au soko la gulioGusii stadium kisii [emoji23][emoji23]View attachment 1768038View attachment 1768039
😂😂😂😂 Huu ni uwanja au zizi?Huu nao ni uwanja?..kama umeishiwa sema tuu...Green stadium KerichoView attachment 1768185View attachment 1768186