komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mapimbi hao[emoji23][emoji23]Which year., unajua prices ya Safaricom kweli wewe?., I wish ukue karibu na mtu mwenye line ya Safaricom so they can key in *544#., or *444# then scroll to data bundles ujionee mwenyewe, propaganda la hasha., hii yako when was it?.,[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Ume ekewa screenshot lakini bado tu umekomaa na wishful thinking zako.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], Wacha nikupe ya Telkom
View attachment 1768070
View attachment 1768071
View attachment 1768072View attachment 1768078
Airtel wako same, Safcom pia wana range hapa hapa[emoji13][emoji28][emoji28].,
Sasa mwambie akuletee za kwao kutoka tigo, voda na zantel manake hao ndio top3 kw kule