Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nawe sio bure una mawenge na matege yako yale, manake sio kw kunyezwa hko..
Kila mtu wewe anatumia id mbili, jamaa kajibu comment niliyo-mquote mulisaa mi ikabidi nikakaba sasa na wewe umekuja kubwetuka hapa..

Uzuri mulisaa (congoman) mwnywe keshanijibu
🤣
 
BRT si ni barabara tu au sio? Mbn mmeshindwa kujenga sasa amuihitaji au? Kama hamuihitaji mbn mnahangaika na mirangi rangi sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
WWE kwani umesikia aje nmesema BRT Ni Barabara tu ata tukipaka rangi Kwani hio tunapaka kwa anga ama Barabara? Watz munathani Ndio tujenge BRT lazima tubomoe bomoe🤣🤣🤣 Thika road itatengwa lanes moja moja ya kwenda na kurudi na BRT ianze hapohapo
 
Mzee wewe umesema flyover ya Ghana bei yake ndogo ukilinganisha na Ubungo flyover. Sasa leta facts
Kwanini unasema ni ndogo!?


Ubungo interchange ni almost 87 m☝

Iyo ya Ghana ni 94 m some sources zinasema 84m


Na 4tier interchange with a difference of 7m na yetu ya Ubungo
 
Tanzania Jengeni pia nyinyi mkue na mahali pa kusafisha Kama Nairobi🤣Nairobi Ni Kama Gari mpya imepata Vumbi na mwenyewe Hana shughuli kuosha Yani amezoea magari,si Kama TukTuk/Daresalaam ikichafuka wanaosha Ndio washine kiasi 😢eeeh imenikumbusha kiti nzee yenye mamangu alikuwa akifunikianga na vitamba za viti ili tufiche aibu kwa wageni kitambo sana🤣🤣🤣🤣🙏🤣
 
BRT sio githeri, BRT is a system mzee🤣🤣 sio unaamka asubuhi unachora barabara pale thika alaf unasema BRT ndio maana mpaka leo 3yrs bado munahangaika na BRT wakat sisi tunaenda kuanza phase 3 soon🤣🤣
Nikuulize Kwani BRT yenyu iko Angani ama? Si Ni Barabara tu ila yenyu imejengwa ufala sana🤣🤣 Sisi tunatenga tu lanes mbili za kwenda na kurudi umeshika Bongolala😷🤣🤣🤣
 
Mbona haiendi na stima sasa tukakona 🤣🤣🤣 hani hii mitungi iende na stima wakat hapo ina full vibration, rail yenyewe ni bolt jointed na sio welded hahahahaView attachment 1766878
wacha nkuulize unathani penye zilinunuliwa zilikuwa zikitumia Nini? Ni Stima na ata Nigeria ilinunua ka zetu sababu zinabeba double stack na zinaeza kuenda na Stima ama Diesel
 
Ni phase 6 mkuu. Na zikiisha hizo tunaingia kwenye light rail. Hiyo kwa namna itakavyokuwa hakuna nchi Afrika itaona ndani. Nasema hakuna, siyo SA wala Egypt watatusogelea. Km 266 tena huenda yote ikawa viaduct! Bongo sihami.
yajayo ni killers.....
 
Nikuulize Kwani BRT yenyu iko Angani ama? Si Ni Barabara tu ila yenyu imejengwa ufala sana🤣🤣 Sisi tunatenga tu lanes mbili za kwenda na kurudi umeshika Bongolala😷🤣🤣🤣

Do you mean this one.
👇🏽👇🏽👇🏽
06CB9478-D29A-4054-A950-F5504E49C359.jpeg
 
Nikuulize Kwani BRT yenyu iko Angani ama? Si Ni Barabara tu ila yenyu imejengwa ufala sana🤣🤣 Sisi tunatenga tu lanes mbili za kwenda na kurudi umeshika Bongolala😷🤣🤣🤣
Soma hapa upate uelewa ndio maana miaka mitatu leo munahangaika na BRT kazi ni kuchora barabara alaf inakaa miaka mitatu kimya 🤣🤣🤣👇👇👇
E982D7D9-9384-4B68-A0D5-C9A87040F829.jpeg
 
wacha nkuulize unathani penye zilinunuliwa zilikuwa zikitumia Nini? Ni Stima na ata Nigeria ilinunua ka zetu sababu zinabeba double stack na zinaeza kuenda na Stima ama Diesel
Leta link kua haya matumgule yalikua yanatumia stima ukipata nitag nifunge acc🤣🤣🤣👇👇👇👇
Madude ya miaka 100 iliopita mchina kayapaka rangi kawaletea nyinyi mafala alaf unaongea nn hapa
790954F8-6696-4769-8FC5-B4D5CA708C0A.jpeg
 
Back
Top Bottom