Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210403-165838.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupia kabisa na vipicha kadhaa, usisahau kutuonyesha process ilivyo hapo, sio mabango tu. Ntaka kuona process yenyewe ya MELI ilitengewa hapo!


Nimekuletea link kabisa ili upate madini yote. Hapo utaziona pia research vesels ambazo Songoro Marine alitengeneza na kudeliver moja kwenu na nyingine Uganda.
 

Safi sana, Aisee Kawawa Road ishafumuliwa mpaka Morogoro road pale Magomeni. Lane moja inatumika kwa magari ya pande zote hivyo kama una haraka zako pitia Al Hassan Mwinyi road au Mandela kama unaelekea maeneo ya Goms, Mbagala au Kurasini. Muda si mrefu ikikamilika mtu Mbagala atatransit kwa raja zake kwenda Morocco, Ubungo, Mbezi , Posta , ferry , gerezani Magomeni Bila shidaaaaaa[emoji23].
 
Back
Top Bottom