Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee ficha utoto na ujinga wako.
Nimekuuliza Itigi na Sikonge unazijua au unatoa upumbavu tu hapa!?
Mzee nimeanza kuizungukia Tanzania sasa ni mwaka 30.
Kona zote za Tanzania nazijua Mzee.
Itigi ipo Singida na Sikonge ipo Tabora. Hazina uhusiano wowote.
Bro venus achana na huyo mpumbavu anajiaibisha tu, huyo inaonekana hajui chochote kuhusu hii Tanzania, hawani wale wazee wa kufuata mikumbo ya wanasiasa
 
Guys, this article raises the exact points that I wrote about adolescent pregnancy in Tanzania a few weeks ago. But since most of you were not willing to discuss about this issue ( not that I’m surprised), I’ll continue sharing information about it to raise awareness among the Tanzanians who follow this thread.



View attachment 1764966

If Magufuli’s approach to this problem works then shouldn’t we be seeing a fall in the number of schoolgirls dropping out because of pregnancy?
Magu was a stupid man and a monumental fool.
That's all.
 
Wala sijasema wakenya wote, wazungu na raia wa kawaida wana rent hayo majumba shekhe. Naongelea kitu nachokijua
Hio hotel appartment mzee usitake tukuaibishe sasa hvi 🤣🤣🤣 na mostly kilifi wamelenga tourist kwasababu ya fukwe za bahari and nothing else 😅😅 mm mwenyewe nimefika kilifi hvi kilifi kuna uchumi gani wamkenya kulipa rent ya 85 usd per night hebu ongea bila maumivu
 
Mzee ficha utoto na ujinga wako.
Nimekuuliza Itigi na Sikonge unazijua au unatoa upumbavu tu hapa!?
Mzee nimeanza kuizungukia Tanzania sasa ni mwaka 30.
Kona zote za Tanzania nazijua Mzee.
Itigi ipo Singida na Sikonge ipo Tabora. Hazina uhusiano wowote.
Unabishana na huyo kilaza 🤣🤣🤣🤣
 
Magu was a stupid man and a monumental fool.
That's all.
Chuki yako itasaidia nn 🤣🤣👇👇👇 hio lockdown iliowekwa na huyo hayawani imesaidia nn zaidi ya wanafunzi kutiwa mimba kama upupu alaf museme mwanafunzi akipata mimba arudi shuleni hata shetani lazma acheke



 
Hio lamu hio ina shortage ya maji alaf wako hapa kupiga kelele na ile white elephant project🤣🤣🤣🤣






Wakati tanzania mpaka vijiji vinapata maji kila kona ya nchi👇👇👇
 
Fundi maico kashafanya yake
kahamia kwenye reli sasa badala ya majengo🤣
ADD68B8C-E80B-412A-A65B-5789E653AD51.jpeg
 
Ushawah kujiuliza kwann watoto wakike wengi wakipata mimba wanafkuzwa makwao?? Unajua sababu... akili kichwani[emoji1787]
Kwasababu ni umalaya tu hakuna jipya, yn iko hivi HAKUNA MALAYA ATARUHUSIWA SHULE YA GOVERNMENT iko hivyo yani, shule za private zipo uwe malaya uwe mcha Mungu utasoma, but Govt school ni kwa ajili ya watoto wasomi wakweli na sio wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu ni umalaya tu hakuna jipya, yn iko hivi HAKUNA MALAYA ATARUHUSIWA SHULE YA GOVERNMENT iko hivyo yani, shule za private zipo uwe malaya uwe mcha Mungu utasoma, but Govt school ni kwa ajili ya watoto wasomi wakweli na sio wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wengi akili zao ziko brainwashed na wazungu wao hudhani mzungu kwao ndio civilized wakat wale wanapoteza ulimwengu wakat kwao kisirisiri wananyoosha mambo yao
 
Back
Top Bottom