"Mfumo dume, ujima, tabia mbaya, upeo mdogo" hii ni baadhi ya maoni yako juu yangu.
Nikupe shukran kwa kutumia vyema fursa yako ya kutoa maoni, lakini pia, sioni wapi unakwazika na fursa wanaochukua wenzio kutoa maoni yao.
Would you be kind enough and share with all of us whichever evidence at your disposal that I hate Samia due to her gender?
In this world, you will never come across anyone who agrees with you on everything - so, if you can't reconcile with opinions of others, no need of attacking their personalities- just move on peacefully.
Ukweli ni kuwa, Samia ameonesha ni mtu wa kuyumbishwa or one with no stand of her own.
Alisema, "haiwezekani, kwingine kote kuna numbers, Tanzania dash-dash-dash" akiongelea Corona.
Leo, Dunia inakubaliana na approach ya Magufuli dhidi ya Corona.
Labda kama una upeo mdogo wa kutambua kuwa, kama Corona ingeanza leo, angeua uchumi kwa kutuweka kwenye lockdown kama Kenya kwa style yake kuunda tume na kuangalia muda wote Dunia inafanya nini then you move into the bandwagon.
Mama huko twitter, kafollow accounts zote za Harris Kamala na Biden bila kufollow account ya Rais yoyote Africa, apart from Magufuli na Kikwete.
Katika hali ya kawaida, as a head of state, ni ujinga kufollow watu, hasa viongozi ambao hawakufollow or hawainta-act na wewe even on occassional basis.
Anasemwa or kukosolewa kwakua ni Rais, na si kwa uwanamke wake.