ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Alaf 2020 waliku hvi 😅😅👇👇👇Kwahiyo mnatuzidi idadi ya millionaires au sijakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf 2020 waliku hvi 😅😅👇👇👇Kwahiyo mnatuzidi idadi ya millionaires au sijakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gap ni kubwa sana mpk linachosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alaf 2020 waliku hvi [emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1760889
😅😅😅😅 hakuna watu wajinga dunia hii kama mkenya yani watoke kua na mullionarea 2000 mpaka 20000 within 12 months with this corona nchi imekufa inakopa halima kulipa ashaHiyo pdf ninayo tangu January.
Ina ukubwa wa mb 8 na ina pages 86 kama sijakosea.
Nadhani ungemuuliza yule mkunya mwenzako aliyeshindwa kucopy link iliyo beba hiyo attachment kuwa alisoma shule gani.
Sijaona mkenya wa kunizidi akili humu.
Ndio maana mnapokea vichapo kila forum ya nchi zingine mnazozishobokea.
Nina uhakika hata Burundi wakiwa na forum yao watawapeni tu vichapo.
Ngoja nikufokee kwa herufi kubwa, UKINIZINGUA NAKUZINGUA PUMBAF.
Yani hesabu hata za dukani hazikubali 😅😅 na hapo hapo wanakwambia 2021 millionares 921 wamepitia na corona kwenye wale 2000Gap ni kubwa sana mpk linachosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanatumia scale zao yn ukiwa na ksh 1mil tayari wewe ni dollar millionaire[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hakuna watu wajinga dunia hii kama mkenya yani watoke kua na mullionarea 2000 mpaka 20000 within 12 months with this corona nchi imekufa inakopa halima kulipa asha
Acha kupagawana google wewe, chukua kitu cha 4days ago hicho
Hawa watu ni mafala waliopitiliza 😂😂 yani wao hufkiri watadanganya kila mtu hii dunia 21st century hata nzi huwezi mdanganyaHivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Nimemsikiliza James Mataragio
Nimepata insights kadhaa muhimu kuhusu EACOP
✅ Tanzania itakua na 15% sawa na wenye mafuta Uganda
✅ Total watajenga jumla ya kilometers 300 za barabara kama sehemu ya mradi
✅ Total wataimarisha zaidi reli ya kati kwa kujenga depots zaidi ya 8
✅ TRC watabeba mzigo wa Total kwa zaidi ya 80%
✅ Tanesco watafanya Biashara kubwa sana Total na ya kudumu wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi
🇹🇿🕯️ Magufuli Legacy Lives 🕯️🇹🇿
Nakushangaa umpeanic kuzidiwa na wakati hatujaanzaga leo, tafuta knightfrank kutoka 2010 ujichekie mwnywe km unabishaKwahiyo mnatuzidi idadi ya millionaires au sijakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaiogopa ripoti ya 2021, errors zote za 2020 zikichakachukiwa..sai ni mwendo wa vitasa, eti nilishangaa kenya 2018 eti walikua 8000 ghafla mwisho wa 2019 wanasema 2000Gap ni kubwa sana mpk linachosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha mambo ya 2010, kipindi hicho matajiri wengi Tz walikuwa hawamo kwenye database walikuwa wanaogopa kukatwa kodi, Magu alipoingia mambo hayo yakapungua kwa kiasi kikubwa na ndiyo maana ukaona tumewapiga gap takatifu.Nakushangaa umpeanic kuzidiwa na wakati hatujaanzaga leo, tafuta knightfrank kutoka 2010 ujichekie mwnywe km unabisha
Ss lete link from Knight Frank wakisema kwamba report ya 2020 ilikuwa na errors alafu lete report yao mpya ikionesha mnatukaribia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaiogopa ripoti ya 2021, errors zote za 2020 zikichakachukiwa..sai ni mwendo wa vitasa, eti nilishangaa kenya 2018 eti walikua 8000 ghafla mwisho wa 2019 wanasema 2000
Leta ushahidi huo na mm nautaka 😅😅😅2019 phase 1 80%[emoji23][emoji23]
Mbona nyie hampo[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Acha kupagawana google wewe, chukua kitu cha 4days ago hicho
🤣🤣🤣🤣🤣 jana katapika upupu woteSs lete link from Knight Frank wakisema kwamba report ya 2020 ilikuwa na errors alafu lete report yao mpya ikionesha mnatukaribia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Airport inahusu ndege sio SGR. Uko sawa mkuu, au ushatoa loki? 😂 😂 😂Unaniletea maneno ya porojo 😅😅😅 siasa za twitter za kina kigogo na genge lake
SGR
Phase one 91% 300km
Phase two 58% 442km
Phase five site preparations 341km
Alaf tunashindana nn😅😅😅😅