Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,689
- 107,131
yaani kaacha shuzi mbwiii! doh salalala haaaaaatariiiiii!
Hapo sasa inatakiwa ujiulize mbona nchi ndogo lkn inawahemesha hvo mkiwa nchi mbili[emoji23][emoji23]
Hapo sasa inatakiwa ujiulize mbona nchi ndogo lkn inawahemesha hvo mkiwa nchi mbili[emoji23][emoji23]
Kenya ina mikoa nane 47m peopel iko na28 airports
Alafu tz kuna mikoa 20 ukiongezea zanzibar baada ya ku google nikapata mikoa 5 sasa sijui km ni ukweli, lkn wengine walikua wakitudangnya hapa km zanzibar ni city[emoji23][emoji23]
Anyway, sasa inakuaje mikoa 25 katika nchi mbili iishinde ka nchi ka mikoa 8 tu kw airport tatu tu, huoni hyo ni aibu aisee
Katika watu humu ndani ambao hata hawajui ni nini wanaongea basi ni wewe 😂😂 Yani punguani kabisa .. shame on you 😂😂Hapo sasa inatakiwa ujiulize mbona nchi ndogo lkn inawahemesha hvo mkiwa nchi mbili[emoji23][emoji23]
Kenya ina mikoa nane 47m peopel iko na28 airports
Alafu tz kuna mikoa 20 ukiongezea zanzibar baada ya ku google nikapata mikoa 5 sasa sijui km ni ukweli, lkn wengine walikua wakitudangnya hapa km zanzibar ni city[emoji23][emoji23]
Anyway, sasa inakuaje mikoa 25 katika nchi mbili iishinde ka nchi ka mikoa 8 tu kw airport tatu tu, huoni hyo ni aibu aisee
Ninyi hamna maisha mazuri kuwazidi Namibia, Botswana, Eswatini, Angola na hata Rwanda lakini cha ajabu eti mpo juu yao how? Mimi kipimo changu cha maendeleo ni provisions of social services and common citizens well-beingGDP ni nn kaka? Uliskia wapi imeandikwa gdp ndio maendeleo..
Maendeleo hupimwa na uongozi bora we bwege, emu rudi darasani.
GDP pia ina umuhimu wake katika nchi sio kila wakati mtu anapayuka tu wakati hujui lolote
Musoma, Songea, Kigoma, Chato, Mtwara.....
Ninyi mna mikoa (regions) au counties?Hapo sasa inatakiwa ujiulize mbona nchi ndogo lkn inawahemesha hvo mkiwa nchi mbili[emoji23][emoji23]
Kenya ina mikoa nane 47m peopel iko na28 airports
Alafu tz kuna mikoa 20 ukiongezea zanzibar baada ya ku google nikapata mikoa 5 sasa sijui km ni ukweli, lkn wengine walikua wakitudangnya hapa km zanzibar ni city[emoji23][emoji23]
Anyway, sasa inakuaje mikoa 25 katika nchi mbili iishinde ka nchi ka mikoa 8 tu kw airport tatu tu, huoni hyo ni aibu aisee
we samia hakuhusu: acha kurukarika plz naomba model ya ile benzi yenye vent mbele ka za ndokiSamia hangoki ng'o
we 1% unaijua? lete model ya ile benzi iloandikwa greenline mbele ina vent ka za lr109Jamaa umetumia 1% ya akili mzee, matope kabisa yani..ingelikua biashara inaenda hvo basi we mzee kw fikra zako hzo ungelikua milionea
Hiyo iko na floor 18 na zote zikikamilika zinatalajiwakua na height sameIle ambayo naona ina neti ya green ina floors ngapi?
Unajua tangu dunia iumbwe Tanzania ndio nchi pekee kuwahipoteza wanajeshi kwenye peace keeping mission?...sasa niambie mkiingia kwenye vita lasimi na magaidi itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi waliacha kuuza mkaa kule somalia?
Haya maneno uwaambie wakunya wenzako kwamba GDP sio maendeleo mana ndicho kitu mmebaki nacho.GDP ni nn kaka? Uliskia wapi imeandikwa gdp ndio maendeleo..
Maendeleo hupimwa na uongozi bora we bwege, emu rudi darasani.
GDP pia ina umuhimu wake katika nchi sio kila wakati mtu anapayuka tu wakati hujui lolote
Si ndiyo ushindi km historia ya TPDF inavyosema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajua tangu dunia iumbwe Tanzania ndio nchi pekee kuwahipoteza wanajeshi kwenye peace keeping mission?...sasa niambie mkiingia kwenye vita lasimi na magaidi itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hilo lingazi nalo la nini hapo juu,,,tena lakupachika [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wakenya ni matope kabisaView attachment 1758785View attachment 1758786
[emoji23][emoji23][emoji23] Jirani bhana, eti na hii ni SGR ametengeneza mchina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mchina mwenyewe anasemaje.?[emoji23][emoji23], Mchina atamwambia nini Mungu siku ya malipo.?[emoji23][emoji23][emoji23] . Wenyewe utawakuta wanajipiga kifua mbele kinouma, nina mashaka na kuvaa kwenu nguo na baadhi ya tabia za kibinaadamu hakuhalalishi kama ninyi ni binaadamu kamili
duuhh!!!! [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] asante kwa taarifa .....Unajua tangu dunia iumbwe Tanzania ndio nchi pekee kuwahipoteza wanajeshi kwenye peace keeping mission?...sasa niambie mkiingia kwenye vita lasimi na magaidi itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GDP ndio kila kitu linapokuja swala la uchumi katika nchi, na ukumbuke nchi yenye uchumi imara kupata maendeleo haikawii bora mpate kiongzoi bora tu..Haya maneno uwaambie wakunya wenzako kwamba GDP sio maendeleo mana ndicho kitu mmebaki nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha kibaya zaidi walivamiwa kw mapanga na watoto wadogoUnajua tangu dunia iumbwe Tanzania ndio nchi pekee kuwahipoteza wanajeshi kwenye peace keeping mission?...sasa niambie mkiingia kwenye vita lasimi na magaidi itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Model ni nini? Benzi ni nn?we 1% unaijua? lete model ya ile benzi iloandikwa greenline mbele ina vent ka za lr109
Samia atabaki na aongoze milele[emoji23][emoji23]we samia hakuhusu: acha kurukarika plz naomba model ya ile benzi yenye vent mbele ka za ndoki
Model ni nini? Benzi ni nn?
Emu tuanzie hapo kwanza jomba la gold drago[emoji23]