Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1618848580.909585.jpg
 
at least hope imerudi, Majaliwa aendelee hivhiv watu wasilalelale

huyu jamaa wa mwendokas asipotolewa leo, mganga atakuwa noma

Screenshot_2021-04-19 Rais Samia Suluhu Hassan, mweke pembeni Waziri Mkuu Makajilwa ili uongoz...png

Ukisikia kelele baada ya jiwe kutupwa gizani ujue kuna mtu kaumia. Sasa watu wanaanza kumletea majungu waziri mkuu kwa kazi aliyoifanya leo pale mwendo kasi. Hili bandiko walishalitoa kule Siasa.
 
Hii battle mnafanya too general and easy

Kama una ubavu wa kupambana na Tanzania kweli kwenye usafiri wa mabus unachotakiwa kufanya ni kuleta luxury busses zinazofanya safari zake kutoka nairobi au Mombasa au Kisumu kwenda

1 Wajir

2 West Pokot

3 Turkana

4 Samburu

5 Isiolo

6 Mandera

7 Garissa

8 Lamu

Leta hapa luxury bound Buses zinazotoa huduma zake kwenye hayo maeneo kisha na wewe useme na sisi tulete luxury Buses zinazofanya safari kwenye masafa kama hayo kwa upande wa Tanzania
Garissa

1.JPG
2.jpg

Lamu

1.JPG
2.PNG
 
Anza na Turkana na mimi nianze na Kigoma sababu geographically Turkana kwa kenya ipo located as kigoma kwa Tanzania

Leta bus kutoka any of your major cities zenye standard kama hii kwenda Turkana

Note, hapo ni kigoma bus terminal hivyo na Turkana bus terminal iwe featured kwenye pictures zako ili twende sambamba

Tuonyeshe ya Kuenda Liwale
 
Hii battle mnafanya too general and easy

Kama una ubavu wa kupambana na Tanzania kweli kwenye usafiri wa mabus unachotakiwa kufanya ni kuleta luxury busses zinazofanya safari zake kutoka nairobi au Mombasa au Kisumu kwenda

1 Wajir

2 West Pokot

3 Turkana

4 Samburu

5 Isiolo

6 Mandera

7 Garissa

8 Lamu

Leta hapa luxury bound Buses zinazotoa huduma zake kwenye hayo maeneo kisha na wewe useme na sisi tulete luxury Buses zinazofanya safari kwenye masafa kama hayo kwa upande wa Tanzania
West Pokot, hiyo ya tatu

1.JPG

More West Pokot

1.JPG
 
Tahmeed bus destinations
Kenya - 17
Tanzania - 6

Alafu mtu anakwambia ni ya Tanzania

Arusha,

Busia,

Daressalaam,

Eldoret,

Horohoro,

Kampala,

Kericho,

Kilifi,

Kisumu,

Kitale,

Kitui,

Machakos,

Malaba,

Malindi,

Mombasa,

Moshi,

Mtwapa,

Mumias,

Nairobi,

Nakuru,

Tanga,

Taveta,

Ubungo

Webuye.
 
Back
Top Bottom