Hapo sijataja vitu vingi mfano modern terminals, roads mpk uswahilini, sijataja BRT, sijataja mikataba ya faida kwa nchi mfano kabanga Nickel na dhahabu ya barrick, sijataja silos kila mkoa, sijata abattoirs, sijataja viwanda mfano cha ngozi kule Kilimanjaro, sijataja modern airpots, sijataja ports, sijataja ferries, sijataja big ships zinazojengwa maziwani yn sijataja vitu vingi. And all that is just for only five years, so unapoona Watz wakaanza kumtukuza Magu msidhani walikuwa wanapenda jamani huyu mtu ni wa ajabu sana sana sana, ndiyo maana niliwahi kusema sidhani kama ubongo wake walimwacha azikwe nao.
Sent using
Jamii Forums mobile app