Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi





Wakuu, anayejua CAG alilipwa na nani kutengeneza ile ripoti yake anijuze tafadhali. Nina hamu ya kujua nani na nani wanatuuza!

Pia yule aliyesema hatuna wataalam hivyo makandarasi na makonsaltant wa nje waje na wataalam wao mpeni hizi salamu.

Nilishangaa sana yule mwendawazimu alipodai mradi wetu wa JNHPP unatumia feasibility study ya mwaka 70. Hebu mtazame mwenyewe mtaalamu wetu mzalendo akitema madini hapo.


Hivi kwa upotoshaji huu wa CAG, anapaswa kweli kuendelea kuwepo ofisini?
🤔🤔🤔
 
Wakuu hii ngoma tuamini kwamba mwaka huu tunaipanda, hapa ni kuanzia kipande cha Buguruni kwa Bakhressa mbele yake mpk karibu na Vingunguti.
IMG_20210416_182003_582.jpg
IMG_20210416_182008_093.jpg
IMG_20210416_182050_213.jpg
IMG_20210416_182119_566.jpg
IMG_20210416_182207_162.jpg
IMG_20210416_182234_849.jpg
IMG_20210416_182252_358.jpg
IMG_20210416_182253_351.jpg
IMG_20210416_182254_110.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia hapa naongea? Hapa naandika tu.
Karne ya 21 bado mnabaguana na kuchinjana kisa makabila!
Halafu huwa hii mada ya ukabila inakuchoma kama pasi...inaelekea ushawahi kubaguliwa kisa kabila lako.
Hapa mada hukwepi kabisa, je kw nini wazungu wa lenya mnawakataa na kuwaita wageni[emoji23][emoji23]
Ama wewe ubawakubali km raia halali wa kenya?
Sema nikuelewe manake unaruka ruka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]View attachment 1753820
Msipende kuokoteza dhambi saa nyingine jihurumieni, mkijua ya kwamba miaka 70 ya hapa duniani ni tunaji qualify either kuingia Mbinguni au motoni, siku zote ogopa anaye weza kukuamuru ila akakupa uhuru hasira zake hazivumiliki. Kisasi ni cha Mungu. Ila mwenye kudhihaki na azidi kudhihaki, na mwenye kuenenda vema na azidi sana.
 
Nani kakuambia hapa naongea? Hapa naandika tu.
Karne ya 21 bado mnabaguana na kuchinjana kisa makabila!
Halafu huwa hii mada ya ukabila inakuchoma kama pasi...inaelekea ushawahi kubaguliwa kisa kabila lako.
Kwhyo haya sio mazungumzo sio[emoji848]
 
Matajiri wa bongo nyie mnawajua wkt matajiri wa Kenya sijui hata mmoja, u know what richest people in Tz are also richest people in Kenya and other countries in the region utake usitake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Km ni akina gujirati mbona sawa tu[emoji23]
Endeleeni kuimba umoja na uzalendo huku wahindi wao wanaimba pesa
 
Umesoma hii article Kweli? Maana inaongelea sababu za wangi wa Mimba za utotoni huko Meru, Kenya.

Na kama elimu ni haki ya kila mtoto hapa Tanzania, Kwa nini watoto waliopata ujauzuto wisipate hiyo haki? Denying them access to attend school violates their constitutional right to education!

Hili swala si la kukurupuka kusema kuwa hao watoto wasiende shule si la busara. Unaposema watoto hawa waliopata ujauzito wasirudi shule ni Sawa na kuwaondolea fursa kujiendeleza kimaisha. Wakifukuzwa shule watoto hawa it is highly likely wanaangukia kwenye Kuolewa, wanakubwa na Ugumu wa maisha, wanakuwa discriminated na jamii, ambayo huwapelekea kuwa prone to mental health issues na depression, na bila kusahau kiujumla wanaingia kwenye Wimbi la umasikini. Mtu mwenye potential ya kujiendeleza kielimu anaishia kuuza karanga huku akitafuta kwa ajili ya yeye na mtoto wake.

Inabidi tujiulize Kwa nini Afrika Ndiyo inayoongoza duniani kwa underage pregnancies! Kwasababu jamii zetu na familia kiujumla zinachangia kwa kiasi Kikubwa kwenye Hili swala. Hatuwapi watoto wetu sex education. Ni familia chache sana za kiafrika/ kitanzania unakuta wazazi wanaelimisha watoto wao kuhusu mambo ya adolescence na kujikinga! Ndio, kuna watoto wanaosikia wakiambiwa jambo lakini lazima kuwepo na wale wasiosikia na ni vyema kushauri watumie Kinga ili kujilinda dhidi ya mimba na magonjwa ya ngono kama HIV/AIDS!

Na hii elimu isiwe Kwa wasichana tu Bali na watoto wa kiume. Unakuta Mzazi anamkanya mtoto wake wa kike halafu hamkanyi yule wa kiume. Matokeo yake? Yule wa kiume Ndio anaenda kumpa Mimba mtoto wa mzazi mwingine!

Kiufupi ni vyema kuwaelimisha watoto wetu na kama kwa bahati mbaya mtoto amepata ujauzito kuwepo na program za kuwaruhusu warudi shule. Baada ya kujifungua inabidi mtoto msichana arudi shule na shuleni kuwepo na counseling services za kuwasaidia hawa watoto Maana mara nyingi huwa nwanaathirika kisaikolojia.

Inabidi Jamii zetu zibadilike kwanza ili tuone matokeo. Kukatisha masomo ya wanafunzi au kuwafunga will NEVER break the cycle! Lakini kwa wale watoto wanaopata ujauzito kutokana na sexual assault, inatakiwa wafanyiwe counseling services na watu responsible wachukuliwe Hatua za kisheria.

Ninakaribisha maoni yenu.
Naomba nikujibu kama ifuatavyo, ishu hapo co tu kurudi shule bali anatakiwa aende jela miaka 30 kama ambavyo wa kiume anavyopelekwa jela, huwezi kuniambia eti ameshawishiwa na wa kiume kwn yeye akili hana? So hakuna kurudi shule kwa kijana wa kike aliyeanza mchezo mchafu shuleni na kama baba ake ake au mama ake anataka arudi shule hamna shida ampeleke private na sio arudi Govt akafundishe umalaya wenzie.

Na kama kutalazimika mabadiliko ya hiyo sheria basi iangalie pande zote mbili kwamba either wote wawili wa kiume na wakike waende jera miaka 30 au wote waachiwe waendelee na mambo yao lakini hili suala la kutetea wa kike arudi shule and at the same time wa kiume anaelekea jela ni double standard ya kiwango cha tembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mada hukwepi kabisa, je kw nini wazungu wa lenya mnawakataa na kuwaita wageni[emoji23][emoji23]
Ama wewe ubawakubali km raia halali wa kenya?
Sema nikuelewe manake unaruka ruka sana
Ni wageni ndio na hilo halina ubishi.

Na ndio maana wanamiliki mashamba makubwa yenye rutuba.
Huko kwenu wana hadi mitaa yao ambayo makajamba nani hamruhusiwi kwenda kujamba jamba.
 
Je unaamini kwamba CAG ni msema kweli daima? Sasa kama ni msema kweli mbn hakuweka wazi kipindi kile cha mwamba? Kama alifungwa mdomo it means anaweza akaingiliwa na mamlaka ya juu, sasa kama anaweza kuingiliwa na mamlaka ya juu kwnn hutaki kuamini anachosema mwenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo unamaanisha Mama kampa rushwa CAG, we kweli unajielewa jamani..
Alafu kuhusu mtu kunyamazishwa mbona rahisi, we unafikiria nani anapenda kufa tena kinyama kw ajili ya mabwege km wewe..

Jamaa ukitishia unapiga pause tu alafu akija mwngine ambae amepoa poa unafichua maovu ya mwngine..
We hapa ulimwenguni unafikiria marais wangapi kw wenzetu wamefungwa baada ya kuachia madaraka tena kw mda..

Nasema hivi, mficha maradhi humuumbua
 
Hivi kwa upotoshaji huu wa CAG, anapaswa kweli kuendelea kuwepo ofisini?
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kafungue kesi mahakamani kuhusu hayo madai yako kukiko kukaa hku na kujifariji tu, au nyie hko hamjafika levels hzo
 
Je unaamini kwamba CAG ni msema kweli daima? Sasa kama ni msema kweli mbn hakuweka wazi kipindi kile cha mwamba? Kama alifungwa mdomo it means anaweza akaingiliwa na mamlaka ya juu, sasa kama anaweza kuingiliwa na mamlaka ya juu kwnn hutaki kuamini anachosema mwenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
CAG anateuliwa na Raisi...kulinda ugali wake lazima awe mpole Raisi akiwa mkali...sasa uyu alivyoambiwa usiwe na lugha tata ndio kaongea yaliyomo
 
Back
Top Bottom