Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] Kazi iendelee

Kulikuwa kuna mvutano wa international Airport kujengwa huko Mara, ni either Mugumu au Serengeti... Walikuwa wanazozana uwanja uwe wapi na upewe jina gani... Vipi ndio huu sasa international unajengwa au huu ni mwingine?
 
Kwhyo unamaanisha Mama kampa rushwa CAG, we kweli unajielewa jamani..
Alafu kuhusu mtu kunyamazishwa mbona rahisi, we unafikiria nani anapenda kufa tena kinyama kw ajili ya mabwege km wewe..

Jamaa ukitishia unapiga pause tu alafu akija mwngine ambae amepoa poa unafichua maovu ya mwngine..
We hapa ulimwenguni unafikiria marais wangapi kw wenzetu wamefungwa baada ya kuachia madaraka tena kw mda..

Nasema hivi, mficha maradhi humuumbua
Ona ulivyokuwa biased yn unaamini kwamba CAG alifanya kazi kwa kumlinda Magu ila hutaki kuamini kwamba anafanya kazi kumlinda aliyepo, wivu ni mzigo sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi nilisema alifanya kazi kw kumlinda magu[emoji23][emoji23][emoji23]
Emu rudia tena kusoma nilichokiandika, heri tena niseme alifanya kazi kwa uoga kuliko hyo kauli yako ya kulindwa..

Eti CAG alifanya kazi kw kumlinda magu, emu tema mate hko usinitie maneno ambayo sikuyasema mimi..
Alafu stick kw mada yako ya kwamba amesema uongo
 
Akisema macharia KQ ina ndege tatu sawa, tena mnasema yeye ndio boss..lkn CAG akisema uongo[emoji23][emoji23]
Wanafiki katika kiwango cha sayari kibete
Ss macharia ananukuu kutoka kwa expert people ila huyu wetu anatoa toka kwa wanasiasa na ndiyo maana expert people wa huku wana question report yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss macharia ananukuu kutoka kwa expert people ila huyu wetu anatoa toka kwa wanasiasa na ndiyo maana expert people wa huku wana question report yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hta huyo ananukuu bana kutoka kw ma file, mkaguzi mkuu huyo bana[emoji23][emoji23]

Ma expert wa macharia ni wale wa press release sio, yani ripoti hata link haina inapostiwa twitter[emoji23][emoji23]
Heri CAG unaweza ukaingia katika mtandao na kujisomea..
 
Kwhyo unamaanisha Mama kampa rushwa CAG, we kweli unajielewa jamani..
Alafu kuhusu mtu kunyamazishwa mbona rahisi, we unafikiria nani anapenda kufa tena kinyama kw ajili ya mabwege km wewe..

Jamaa ukitishia unapiga pause tu alafu akija mwngine ambae amepoa poa unafichua maovu ya mwngine..
We hapa ulimwenguni unafikiria marais wangapi kw wenzetu wamefungwa baada ya kuachia madaraka tena kw mda..

Nasema hivi, mficha maradhi humuumbua
[emoji115][emoji115]Hahahaha hivi somo la logic ulipata ngapi vilee[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji200][emoji200]
Wapi nilisema alifanya kazi kw kumlinda magu[emoji23][emoji23][emoji23]
Emu rudia tena kusoma nilichokiandika, heri tena niseme alifanya kazi kwa uoga kuliko hyo kauli yako ya kulindwa..

Eti CAG alifanya kazi kw kumlinda magu, emu tema mate hko usinitie maneno ambayo sikuyasema mimi..
Alafu stick kw mada yako ya kwamba amesema uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hta huyo ananukuu bana kutoka kw ma file, mkaguzi mkuu huyo bana[emoji23][emoji23]
Kwamba JNHP linajengwa kwa feasibility study ya 70s? Na mbn wataalamu wamekanusha kisomi ss? Si atokeze abishe walichosema wataalamu?[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji200][emoji200]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hta huyo ananukuu bana kutoka kw ma file, mkaguzi mkuu huyo bana[emoji23][emoji23]

Ma expert wa macharia ni wale wa press release sio, yani ripoti hata link haina inapostiwa twitter[emoji23][emoji23]
Heri CAG unaweza ukaingia katika mtandao na kujisomea..
Kwamba KQ haijaweka rekodi ya loss duniani [emoji117][emoji205][emoji118][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji200][emoji200][emoji90][emoji90]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komora bhn[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji200][emoji200][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]
Screenshot_20210407-232953.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ofisi yake haikosi kunguni[emoji221]
Jamaa alidhani kua na mafaili nyingi kwa meza ndio ataonekana eti anachapa kazi. Mshamba sana

He looks disorganized for a president. Desk inakaa ya chairman wa maji mtaani

Suluhu looks orderly. Suluhu amejipanga kutokea venye ofisi inakaa
Screenshot_20210416-175532.jpg
 
Back
Top Bottom