Yap he deserved death for us because even Jesus died for us, and one day even u will die utake usitake, sema ss wewe hata ukifa sawa tu cz huna mchango wowote duniani hapa zaidi ya kuongeza idadi ya walaji wasio na faida.
Sasa ona the deceased Magu alichofanya for only 5yrs, amazing walahi na lazima uchukie punda wewe!!!!!!
[emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji116][emoji116]
1. Amejenga reli ya umeme of its kind, never seen before in East and Central Africa and may be in Africa as well.
2. Amejenga bwawa la umeme kubwa na ni miongoni mwa mabwawa makubwa Africa na duniani and upon completion tutakuwa na umeme mwingi wa bei nafuu na mwingine unaobaki tutawauzia nyie maskini wa fikra ili muepukane na unnecessary black outs.
3. Ameipokonya Kenya bomba la mafuta ambalo lingetengeneza ajira nyingi na kupunguza uhaba wa ajira unaokusumbua mpk wewe ameleta ajira ktk nchi yake aliyoipenda kutoka moyoni.
4. Amejenga hospitali nyingi na vituo vya afya kila kona na ndiyo sababu hakutaka kwenda popote kutibiwa cz ali invest mno kwenye afya so akaona km inashindikana kutibiwa nyumbani wacha nife tu cz Tz ina kila kitu.
5. Amejenga ukuta kule mirerani ili kuzuia "chawa" Kenya, India na SA kuiba Tanzanite yetu.
6. Amejenga Ikulu kubwa duniani japo tunayo nyingine nzr lkn kajenga tu kudhihirisha sisi ni super power ukanda huu na tunaweza kufanya lolote [emoji1787][emoji1787]
7. Amejenga flyovers za kisasa na alitaka kujenga nyingi mpk Chato kudadadeki [emoji3][emoji3]
8. Amejenga madaraja mengi mno mengine yamevunja rekodi ya kipekee kabisa hapa Afrika.
9. Amefufua shirika la ndege kwa kununua ndege za kisasa, mpya na zingine tunazo sisi pekee etu Afrika hii na kwa kushangaza zaidi on cash basis [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
10. Amejenga masoko ya kisasa mpk uswahilini.
11. Amesambaza umeme vijiji vyote Tz kwa bei ya sh 27000 tu ukitaka kujua namaanisha nn ibadilishe hiyo elfu 27 tsh kwenda kshs[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
12. Amefufua shirika la reli lililojifia kwa zaidi ya miaka 30.
13. Amepeleka maji safi na salama vijijini.
Mengine ngoja niachie tu kuna kazi nafanya hapa nitarudi kukuonesha kwanini watanzania walivunja rekodi kumzika huyu mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using
Jamii Forums mobile app