Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia tena, KQ haimilikiwi na serekali, we ukitaka lia[emoji23][emoji23]
Hata mm naona 🤣🤣🤣👇👇👇
EC372D7A-D10D-4AF9-848B-6DB85E985859.jpeg

91986DA0-0879-42F8-9918-BCC05483506B.jpeg
 
Mchina asipoangalia, peponi atakuwa anapasikia tu.
Siyo kwa madhambi yale ya kujitakia. Anawapa wenzake kanyaboya, kisa kalipaka rangi linaonekana jipya.
🤣🤣🤣
Kapaka rangi midude ya 1930 alaf kayaleta kenya 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna wizara inaitwa KQ[emoji23][emoji23][emoji23]
Kq ni shirika liko chini ya wizara ya uchukuzi kenya 😅😅😅 ulie usilie hata ATCL iko chini ya wizara ya uchukuzi tanzania na rwanda air iko chini ya wizara ya uchukuzi na uganda hvo hvo mzeee 🤣🤣🤣🤣
 
Na boss wa kq ni waziri wa wa uchukuzi ambae ni macharia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1752550
Hakuna wizara inaitwa KQ[emoji23][emoji23]
Hana uwezo wowote hyo wa kumpelekesha allan kuhusu maswala ya ndani ya kampuni..
Yeye kazi yake ni uwaziri wala hana u boss wowote ule..
 
Kq ni shirika liko chini ya wizara ya uchukuzi kenya [emoji28][emoji28][emoji28] ulie usilie hata ATCL iko chini ya wizara ya uchukuzi tanzania na rwanda air iko chini ya wizara ya uchukuzi na uganda hvo hvo mzeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta modern coast iko chini ya wizara ya uchukuzi, aboud bus pia vile vile[emoji23][emoji23]
Umeona ukilaza wako ulipofikia
 
Back
Top Bottom