Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sa we ni pesa inakutia wasiwasi,[emoji23][emoji23]tutalipa na hio expressway na SGR zitabaki nasi forever,,
Garimoshi [emoji2][emoji2][emoji2]
ke.jpg
 
Ni utani tuu usichukulie serious, ila inawezekana 5H-ONE inahitaji kufanyiwa matengenezo mara ya mwisho kuiona ilikuwa wakati kabudi anaenda Madagascar.
Hahah sawa mkuu umenikumbusha ya Kabudi na Madagascar 🤣🤣🤣,COVID hii tumeona mengi.
 
Nchi yenu ishajinyea, mtu anawekeza zaidi ya dollar bilioni moja katika mradi wa bahati nasibu[emoji2960]
Yani kufikia 2025 mtakua mumepoteza pesa kibao kw matumizi ya kiboya km hayo ya kununua ndege alafu unakuta anatembelea rais km daladala[emoji23][emoji23]

KQ serekali bado inalipia parking fee yani vyanzo vyote vya mapato inachangia pia, nyie hko sio ajabu CAG akifanya yake atakuta hyo miaka yote mitano mindege ilikua inapaki bure pale jnia alafu ni tax free..
Wachezea jiwe wewe, yani hawezekani kwa ufisadi

wivu ukizidi
IMG_1618375803.646912.jpg
 
Ujinga ulio nao ni walevel ya kipekee [emoji706][emoji706][emoji706] niambie ni ndege gani ilikuwepo miaka mitabo iliyo pita? Wakat ndege ya kwanza ilikuj december 2017 ..izo zilizo kuja miaka mitano ni zipi ww mkunya wa uunyee
 
We jamaa kumbe mweupe sana, ukifanay biashara alafu una deni utaanzaje kulipa madeni ya watu mpka uje ujikute umepata hasara
Ww ulitegemea hasara ya kq pesa zinatoka wapi kwenye miti ama ??🤣🤣🤣🤣 hujui kwamba ni pesa zenu ndio zinawalipa wenye ndege kutokana na mikataba mibovu mulioingizwa
 
Bado hatujaunganisha pesa za walipa kodi zilizotunika kinyume na katiba kukomboa hayo mapipa..
Yani rougly mumepoteza more than a bilion dollar na bado mnasema mnawekeza tu[emoji23][emoji23].

Tony254 naona tune imebadilika huku, jamaa kuanzia shirika lianzishwe miongo mitatu minne iliyopita bado halijui faida ni nn[emoji2960][emoji2960]
Bora ya sisi tunaekeza kwa pesa zetu vp nyinyi munaetafura mchawi miaka 9 leo mukitumia pesq za taxpayers kulipa pesa za wenye ndege zao 😁😁😁😁😁

Na ATCL bado investments inaendelea kuna ndege 3 zishalipiwa zinaingia mwaka huu
Na kunda ndege zingine tatu zishatolewa order
 
Nchi yenu ishajinyea, mtu anawekeza zaidi ya dollar bilioni moja katika mradi wa bahati nasibu[emoji2960]
Yani kufikia 2025 mtakua mumepoteza pesa kibao kw matumizi ya kiboya km hayo ya kununua ndege alafu unakuta anatembelea rais km daladala[emoji23][emoji23]

KQ serekali bado inalipia parking fee yani vyanzo vyote vya mapato inachangia pia, nyie hko sio ajabu CAG akifanya yake atakuta hyo miaka yote mitano mindege ilikua inapaki bure pale jnia alafu ni tax free..
Wachezea jiwe wewe, yani hawezekani kwa ufisadi
Aliekwambia imepaki ni nani ?? Ndege zinafanya kazi za ndani ya nchi na baadhi ya nje za nchi 😀😀 eti leo unafananisha hasara ya miaka mitano ya ATCL 27/5 = 5.4m usd kila mwaka against 333m usd a year kq 😅😅
 
Ujinga ulio nao ni walevel ya kipekee [emoji706][emoji706][emoji706] niambie ni ndege gani ilikuwepo miaka mitabo iliyo pita? Wakat ndege ya kwanza ilikuj december 2017 ..izo zilizo kuja miaka mitano ni zipi ww mkunya wa uunyee
Hajui kama ni shirika ambalo bado investments inaendelea 😀😀😀 sijui wanalaana ya nani hao
 
Jamaa katumia hela kibao za ndani kununua ndege za hasara😂😂😂 heri angejenga interchanges jam ipungue dar.
#RIPMagu

#RIPmagu
 
Jamaa katumia hela kibao za ndani kununua ndege za hasara[emoji23][emoji23][emoji23] heri angejenga interchanges jam ipungue dar.
#RIPMagu

#RIPmagu
Jamaaa kaombaa mikopo kibao kashindwa kuondoa kipindu pindu hapo kwenu.
[emoji205][emoji205]
#poor uhunye
 
Jamaaa kaombaa mikopo kibao kashindwa kuondoa kipindu pindu hapo kwenu.
[emoji205][emoji205]
#poor uhunye

Nchi nzima kajenga interchanges mbili, mzee la bishow la penda sifa sana kumbe bure.
#RIPMagu shetani alikupenda zaidi😅
 
Nchi nzima kajenga interchanges mbili, mzee la bishow la penda sifa sana kumbe bure.
#RIPMagu shetani alikupenda zaidi[emoji28]
Tunajenga kulingana na mahitajii Hatukurupukiii
#Kijazi interchange
#mfugale flyover
Mbili zinaendelea kujengwa

[emoji205][emoji205]
 
Duniani kuna vihoja lakini vilivyopo Kenya ni komesha

Sikujua kama sisi ni relevant kiasi hiki kwao

Aliekwambia imepaki ni nani ?? Ndege zinafanya kazi za ndani ya nchi na baadhi ya nje za nchi [emoji3][emoji3] eti leo unafananisha hasara ya miaka mitano ya ATCL 27/5 = 5.4m usd kila mwaka against 333m usd a year kq [emoji28][emoji28]
Atcl imepata hasara miongo karibia mitatu, we unaongelea miaka mitano hapa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom