Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vitu ambavyo i feels proudly tumewazidi majiran ni BRT system, SGR (umeme), mradi wa REA, buses terminals, high quality viwanja vya ndege, idadi za ndege (state owned)... etc

kitu kingine, japo haitiwi maanan sana na viongozi ni viwanja vya mpira.. tukipata vingine viwili kama cha mkapa.. tunakuwa tungefunga mahesabu ishu ya viwanja kwa hapa East and Central Africa.
 
hiv ile brt ya ilala boma kwenda magomeni ni phase 2 au3?
Phase Two Boss, ile ndio inaenda kuunganisha pale magomeni na Morogoro road na Kilwa road, Phase 3 itapita pale ilala Boma hadi Tazara na kuelekea Town itapita pale mpaka mnazi mmoja kukutana na kipande kinachotokea Posta ya Zamani , akiba kupitia Bibi Titi mpaka mnazi mmoja tena.
 
Wakati wengine wakipigwa curfew na kuzuiwa kujivinjari, Tanzania ndio kwaanza viwanja vipya vinazinduliwa

Hii ni moja ya indicators za middle income class is mushrooming at alarming speed

Kiota kipya kwenye entertainment and hospitality industry

Phase Two Boss, ile ndio inaenda kuunganisha pale magomeni na Morogoro road na Kilwa road, Phase 3 itapita pale ilala Boma hadi Tazara na kuelekea Town itapita pale mpaka mnazi mmoja kukutana na kipande kinachotokea Posta ya Zamani , akiba kupitia Bibi Titi mpaka mnazi mmoja tena.
Kwn phase 3 kutokea pale Tazara kuelekea mjini si itanyoosha kuja kukutana na hii phase II hapa Chang'ombe au inapitia njia ya Buguruni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phase Two Boss, ile ndio inaenda kuunganisha pale magomeni na Morogoro road na Kilwa road, Phase 3 itapita pale ilala Boma hadi Tazara na kuelekea Town itapita pale mpaka mnazi mmoja kukutana na kipande kinachotokea Posta ya Zamani , akiba kupitia Bibi Titi mpaka mnazi mmoja tena.
Aah mbona hueleweki mzee ebu rudia
 
Aah mbona hueleweki mzee ebu rudia
🤣

Aliyoulizia mkuu hapo ni lile eneo pale la Ilala ambapo tayari pamebomolewa na kuanza kujengwa (Pale karibu na kwa mkuu wa mkoa au magorofa ya lamada Hotel) hiyo ni Phase two ambayo itaunganisha Morogoro road na Kawawa road pale eneo la Magomeni.

Hivyo hivyo hiyo Kawawa road ndio itaenda kuunganisha na Kilwa road kupitia pale Nyerere road na Chang'ombe karibu na VETA .

Phase 3 ina barabara kadhaa , barabara moja itapita Nyerere road hadi Gongolamboto na barabara zingine zitakua Azikiwe, Maktaba , Bibi Titi na kukatisha pale mnazi mmoja na kuifuata Uhuru road mpaka Buguruni then inakata kuelekea TAZARA flyover na kukutana na lanes za Nyerere road zinazoelekea Goms.
 
Phase 2 nlikua najua mbagala gerezani kupitia kilwa road then phase 3 gerezani gongolamboto via nyerere rodi ebu au vipi sasa ichi kipande kipya via kigogo kinanichanganya
Phase Two ni Kilwa Road na Kawawa Road kuunganisha na BRT Phase one pale magomeni.
 
Phase 2 nlikua najua mbagala gerezani kupitia kilwa road then phase 3 gerezani gongolamboto via nyerere rodi ebu au vipi sasa ichi kipande kipya via kigogo kinanichanganya

Angalia mchoro huu line ya kijani.

Screen Shot 2021-04-15 at 17.01.45.png
 
Aliyoulizia mkuu hapo ni lile eneo pale la Ilala ambapo tayari pamebomolewa na kuanza kujengwa (Pale karibu na kwa mkuu wa mkoa au magorofa ya lamada Hotel) hiyo ni Phase two ambayo itaunganisha Morogoro road na Kawawa road pale eneo la Magomeni.

Hivyo hivyo hiyo Kawawa road ndio itaenda kuunganisha na Kilwa road kupitia pale Nyerere road na Chang'ombe karibu na VETA .

Phase 3 ina barabara kadhaa , barabara moja itapita Nyerere road hadi Gongolamboto na barabara zingine zitakua Azikiwe, Maktaba , Bibi Titi na kukatisha pale mnazi mmoja na kuifuata Uhuru road mpaka Buguruni then inakata kuelekea TAZARA flyover na kukutana na lanes za Nyerere road zinazoelekea Goms.
Hapo sawa mkuu umeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vitu ambavyo i feels proudly tumewazidi majiran ni BRT system, SGR (umeme), mradi wa REA, buses terminals, high quality viwanja vya ndege, idadi za ndege (state owned)... etc

kitu kingine, japo haitiwi maanan sana na viongozi ni viwanja vya mpira.. tukipata vingine viwili kama cha mkapa.. tunakuwa tungefunga mahesabu ishu ya viwanja kwa hapa East and Central Africa.
water supply, hospitals, slaughter houses na markets tumewagaragaza
 
Incat Crowther's Partnership with Azam Builds on Confidence​

  • Incat Crowther's Partnership with Azam Builds on Confidence

15 Apr 2021

Incat Crowther is pleased to announce a contract to design a 53m Catamaran Passenger Ferry for Azam Marine of Tanzania, Africa, to be named Kilimanjaro VIII.

The vessel will be longer and wider than the 2019-delivered Kilimanjaro VII, measuring 53m by 12.5m. Passenger capacity increases to 654.

Kilimanjaro VIII will continue the use of the operator’s trademark parallel boarding system, whereby five ramps per side load passenger and cargo in segregated flows. VIP and Royal Class passengers board into a discreet stair tower directly to the upper deck cabin, whilst economy passengers load separately aft and midships. The fifth ramp is dedicated to luggage trolley movements.This well-proven boarding system ensures passenger classes and luggage trolleys remain separated, reducing turnaround time and improving safety, whilst providing exclusivity for premium passengers.

The new design will seat 340 passengers in its main deck economy cabin whilst the mid-deck cabin seats 36 VIP passengers and 12 Royal Class passengers in full lie-flat seats. The remainder of the mid-deck seats 266 economy passengers.

The luggage room houses up to 10 tonnes of luggage and cargo, whilst IMO HSC code-compliant stability enhances her safety credentials.

Kilimanjaro VIII will feature a modern evolution of the fleet’s style, with an edginess to her lines and a long, sleek profile. Combined with the introduction of a reverse-bow hull configuration, the vessel offers passengers a state-of-the-art ride.

The vessel will be powered by a pair of Cummins QSK95-M main engines. These will be rated to deliver more power to carry the increased payload over Kilimanjaro VII, which was the first fast passenger vessel to utilize this configuration. The large twin engine solution is an effective way of providing more speed and low fuel burn whilst avoiding the through-life cost and complexity of a four-engine power train. Engine room accessibility is improved over a four-engine arrangement, and maintenance and operational requirements are reduced. Additional dividends are realized in the routing and a reduction in the duplicity of systems.

Kilimanjaro VIII will be the 11th Incat Crowther-designed vessel for the operator and the 8th built by Tasmanian builder Richardson Devine Marine. Not only is the newbuild a sign of increased post-COVID confidence in the passenger market, it’s an ongoing demonstration of Azam’s confidence in the designer and builder.

Back
Top Bottom