Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hta modern coast iko chini ya wizara ya uchukuzi, aboud bus pia vile vile
Umeona ukilaza wako ulipofikia
Serekali haina shares kwa
AD6D57D9-06E2-40CE-A362-3AD254C8CF6F.jpeg
CCEEFF94-104E-4D8F-AE35-D5B716269E18.jpeg
modern coast ila modern coast inafata taratibu zote za usafiri ukiowekwa na serekali chini ya wizara 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
AD6D57D9-06E2-40CE-A362-3AD254C8CF6F.jpeg
CCEEFF94-104E-4D8F-AE35-D5B716269E18.jpeg
 
Sikujua kama unaweza ku-stoop so low namna hii mama akitoka kampala anaenda Mwanza kuzindua SGR lot 3 !




Mkiamka malazy wa Kenya tumewapiga tena kwenye SGR!

vivyo hivyo ndio mlisema wakati wa air tanzania, saa hii imebaki kumbeba rais tu,, hasara tupu....akili ya vitu vingine hamnaga aiseee, tuachieni sisi wakenya tulioona mbele
 
Kazi ya wizara ni kuweka taratibu ili zifuatwe
Kumbe ilikua walijua hilo alafu unajitoa ufahamu tu hapa..
Tosha sasa haina niendelee na wewe, rudia tena kazi ya wizara ni nn?
Sijaona utaje u boss hapo
Inaweka taratibu na kusimamia mali za serekali na ina 44% shares na ndio owner mkubwa kwa sasa kq 🤣🤣🤣 na kq iko chini ya wizara ya uchukuzi kwa uangalizi na usimamizi 😀😀😀 ndio maana unapoambiwa loss inatafuta tax payers money uelewe 👇👇👇👇
AD9252B7-2FC7-411A-88D7-C65E54754C66.jpeg
 
Kazi ya wizara ni kuweka taratibu ili zifuatwe
Kumbe ilikua walijua hilo alafu unajitoa ufahamu tu hapa..
Tosha sasa haina niendelee na wewe, rudia tena kazi ya wizara ni nn?
Sijaona utaje u boss hapo
🤣🤣🤣🤣 kwann kq huongelewa bungeni kwanini inaongelewa bungeni na kwann macharia anaiongelea kq?? Unajitia upunguwani


 
vivyo hivyo ndio mlisema wakati wa air tanzania, saa hii imebaki kumbeba rais tu,, hasara tupu....akili ya vitu vingine hamnaga aiseee, tuachieni sisi wakenya tulioona mbele
Mumeona mbele na shirika linafkisha hasara ya 333m usd🤣🤣🤣🤣 hio hela inawez nunua dreamliner mpya na cessna caravan 20 na change ikabaki
 
kwann kq huongelewa bungeni kwanini inaongelewa bungeni na kwann macharia anaiongelea kq?? Unajitia upunguwani


Wee..tumeshamaliza mjadala, nadhani ilikua hujui kazi za wizara lkn nimeona kidogo zimekukaa sawa sasa baada ya kukupeleka mbio..

Mada imekwisha, km utaendelea endelea pekea yako,
 
Inaweka taratibu na kusimamia mali za serekali na ina 44% shares na ndio owner mkubwa kwa sasa kq 🤣🤣🤣 na kq iko chini ya wizara ya uchukuzi kwa uangalizi na usimamizi 😀😀😀 ndio maana unapoambiwa loss inatafuta tax payers money uelewe 👇👇👇👇 View attachment 1752584
Mwarabu koko KQ si mali ya serikali🙄
 
Atacl bado serekali ina invest haiwezi tegemea faida kwa muda mfupu bado kuna ndege zaidi ya tano zishalipiwa zinakuja bado investment inaendelea leo utafananisha hasara ya ATCL five yrs ni 27m usd against hasara ya kq mwaka mmoja tu 333m usd akili yako iko sawa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu hivi route ya dar-nai inaanza lini,siwaelewi hawa atcl isije ikawa wanatuhujumu?
 
Picha ya Kwanza nipo kwenye huo msusuru , LOL Tulipiga kitu "The Beatles’ Abbey Road album cover"

67203

67203.jpeg
 
Back
Top Bottom