Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini, yani km mwanamke vile..yani umeona wivu mimi kuandika na wewe ukaamua kujibu..
Nishakudharau

Yani imekua lazima na wewe uquote ujibu alafu ujibu tena, yani si imeku catch sana
Cs macharia hajui kuliko wewe 😁😁😁 waziri mwenye dhamana asijue kuliko wewe boga 😃😃😃😃
Ramba dawa hio
 
Huyu ndio utoto mtu alieteuliwa na rais kusimamia wizara husika 👇👇👇
2B33B590-F6A2-40D2-A4C5-A2A0FA26F7AC.jpeg
 
Mbona unaua mende kwa kutumia nyundo bro [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo huwa haelewi, hajui kitu zaidi ya kujifanya hamnazo na kuimba taarabu.
Yani nimecheka bro hataki waziri wao aseme ukweli kua wanamiliko ndege tatu so far 😀😀 miaka 40 leo wamelipia ndege tatu chakavu alaf leo miaka 10 anatafuta mchawi wa loss

Hio loss ya 333m usd kwa mwaka wanayopata inaweza nunua dream liner mpya na cessna caravan kama 10 hvi na change ikabaki
 
Mbona unaua mende kwa kutumia nyundo bro [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo huwa haelewi, hajui kitu zaidi ya kujifanya hamnazo na kuimba taarabu.
Msaidie maenzako kuyajibu maswali niliyomuuliza hko juu ndio na wewe uje utie pua..kwanza nishampuuza manake keshaanza ule utoto wake

Basha wako hajambo, manake mwamba anaku zoom tu
 
Yani nimecheka bro hataki waziri wao aseme ukweli kua wanamiliko ndege tatu so far [emoji3][emoji3] miaka 40 leo wamelipia ndege tatu chakavu alaf leo miaka 10 anatafuta mchawi wa loss

Hio loss ya 333m usd kwa mwaka wanayopata inaweza nunua dream liner mpya na cessna caravan kama 10 hvi na change ikabaki
Moja jumlisha moja ni mbili ila atakubishia tu huyo.
 
Msaidie maenzako kuyajibu maswali niliyomuuliza hko juu ndio na wewe uje utie pua..kwanza nishampuuza manake keshaanza ule utoto wake

Basha wako hajambo, mamake mwamba anaku zoom tu
Ni swali gani umemuuliza akashindwa kukujibu zaidi ya kuimba taarabu humu?

Zaidi ya kukana tweet ya Waziri mwenye dhamana kwenye transport ni swali gani umemuuliza?
 
Back
Top Bottom