Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kitu nilichonotice biteko ni waziri sahihi wa madini.. yeye sio msomi sana ila ana uzoefu na uchimbaji wa madini.. anatokea geita.. sidhan kama angekuwepo wazir (Dr. au Prof). ambae sio mwenzeji wahio mikoa angefanikiwa kama biteko

msukuma anaongeaga points sana japo eti LY[emoji23]
Msukuma hana sababu ya kujiweka chini kwasababu ya kuwa "LY", akili na uwezo wa kuzaliwa anao, madarasa ni vitendea kazi tuu.

Mtu kama Michael Faraday aliishia darasa la nne tuu lakini aliweza kugundua kuwa waya ukipita kwenye sumaku unatengeneza (induces) umeme. Ilichukua miaka 100 baada ya Faraday kufa ndipo Maxwell alipokuja kuelezea kihisabati kile alichokifanya Faraday.
LY ndo nn?
Last Year (mwaka wa mwisho wa kumaliza shule ya msingi).
 
not sure if it’s true.. but to kenya, coming soon[emoji41]
IMG_1618342496.290139.jpg
 
Aisee mama anapenda kukwea pipa, tofauti na JK aliyekuwa anajibana bana kwenye kale ka Gulfsream yeye anajimwaga kwenye li Airbus.
😃 Nafikiri hapa wametazama zaidi maswala ya aircraft efficiency, especially kwenye angle ya fuel burnt unaweza ukakuta kuruka na gulfstream ni gharama kubwa zaidi kuliko ukiruka na airbus,ila naamini ile 5H-ONE interior itakuwa bomba sana kuliko airbus maana iko customized afu ni presidential
 
😃 Nafikiri hapa wametazama zaidi maswala ya aircraft efficiency, especially kwenye angle ya fuel burnt unaweza ukakuta kuruka na gulfstream ni gharama kubwa zaidi kuliko ukiruka na airbus,ila naamini ile 5H-ONE interior itakuwa bomba sana kuliko airbus maana iko customized afu ni presidential
Na advantage nyingine ya airbus inaweza kwenda na mama ikamuacha then wkt wa kurudi ikarudi kibiashara tofauti na gulfstream.
 
Still idle for 24 yrs inamaana pesa za taxpayers hazikutendewa haki alaf mtu anauliza kwann debt imeua kenya 🤣🤣🤣 na hapo ukiuluza cost iliotumika ni sawa na kujenga airport kama hio 3
Geza Ulole 👇👇👇👇👇👇
 
We jamaa kumbe mweupe sana, ukifanay biashara alafu una deni utaanzaje kulipa madeni ya watu mpka uje ujikute umepata hasara
 
Ndio mulidanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ww na macharia nani anajua zaidi View attachment 1751140View attachment 1751142


Haya tuambie hzo ndege 20 lini mulilipa mukawa nazo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] aliewaroga nyinyi alizikwa mwaka 1860
Source, press release[emoji23][emoji23]
 
Atacl bado serekali ina invest haiwezi tegemea faida kwa muda mfupu bado kuna ndege zaidi ya tano zishalipiwa zinakuja bado investment inaendelea leo utafananisha hasara ya ATCL five yrs ni 27m usd against hasara ya kq mwaka mmoja tu 333m usd akili yako iko sawa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hatujaunganisha pesa za walipa kodi zilizotunika kinyume na katiba kukomboa hayo mapipa..
Yani rougly mumepoteza more than a bilion dollar na bado mnasema mnawekeza tu[emoji23][emoji23].


Tony254 naona tune imebadilika huku, jamaa kuanzia shirika lianzishwe miongo mitatu minne iliyopita bado halijui faida ni nn[emoji2960][emoji2960]
 
utaelewa siku KQ inazikwa kikamilifu
Nchi yenu ishajinyea, mtu anawekeza zaidi ya dollar bilioni moja katika mradi wa bahati nasibu[emoji2960]
Yani kufikia 2025 mtakua mumepoteza pesa kibao kw matumizi ya kiboya km hayo ya kununua ndege alafu unakuta anatembelea rais km daladala[emoji23][emoji23]

KQ serekali bado inalipia parking fee yani vyanzo vyote vya mapato inachangia pia, nyie hko sio ajabu CAG akifanya yake atakuta hyo miaka yote mitano mindege ilikua inapaki bure pale jnia alafu ni tax free..
Wachezea jiwe wewe, yani hawezekani kwa ufisadi
 
Back
Top Bottom