Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn hko kwenu mnakabidhiwa[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
E926388D-EA0E-46A6-8D96-6CD9DDF5ABCC.jpeg
 
Jamaee, kumbe tanzania mawaziri hukabidhiwa wizara[emoji23][emoji23]
Tutakutana badae, alafu kumbe magu alichokifanya ndani ya miaka mitano ni sawa na miaka arobaini[emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Asante sana shee wangu jicho boi, CAG anakucheka kw dharau we muarabu koko..

Mchana mwema
 
Macharia ni nani tumjue kwanza 👇👇👇
C11E5DD9-2EAD-4148-BAC6-422D38F19F91.jpeg
 
Kuna mkenya alikua hajui zile hasara za kq miaka 10 leo kama wanatumia pesa za tax payers kajua leo 😅😅😅😅😅😅 kashangaa kweli
 
Nimchukie wa kazi kama anafanya kazi yake inavopaswa kwann nimchukie [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona umesema magu ni bora na wakati ana madudu tele, kwhyo ulikua na maana ya kukataa ripoti ya CAG
 
Kuna mkenya alikua hajui zile hasara za kq miaka 10 leo kama wanatumia pesa za tax payers kajua leo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kashangaa kweli
Maskini, yani km mwanamke vile..yani umeona wivu mimi kuandika na wewe ukaamua kujibu..
Nishakudharau

Yani imekua lazima na wewe uquote ujibu alafu ujibu tena, yani si imeku catch sana
 
Sasa mbona umesema magu ni bora na wakati ana madudu tele, kwhyo ulikua na maana ya kukataa ripoti ya CAG
Magu atabaki kua rais bora africa kwa miaka 20 ijayo na hakuna aliepinga na atakepinga hili kazi alioifanya kwa watanzania tulidhani ni kazi ya miaka 40
Na haya maneno kayasema mwinyi kwamba hata wangepewa miaka 40 kuhamisha serekali dodoma wasingeweza 😆😆😆
 
Back
Top Bottom