Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora ya sisi tunaekeza kwa pesa zetu vp nyinyi munaetafura mchawi miaka 9 leo mukitumia pesq za taxpayers kulipa pesa za wenye ndege zao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na ATCL bado investments inaendelea kuna ndege 3 zishalipiwa zinaingia mwaka huu
Na kunda ndege zingine tatu zishatolewa order
Baada ya kupata hasara miaka nenda miaka rudi yule genius wenu feki akaja na idea ya kiboya zaidi kuliko za wenzake..

Jamaa kaongezea juu hasara ya dollar bilioni ya mtaji kufufua mfu mwnye madeni tele akitarajia atasifika kw kuficha madudu...
Rais mfisadi kuliko wote wale sai mambo yamewekwa hadharani
 
Macharia na ww nani mwenye wizara [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
KQ na macharia wapi na wapi[emoji23][emoji23]
Ilianzishwa hata labda yeye akiwa kwao kijijini[emoji2960]
 
Ujinga ulio nao ni walevel ya kipekee [emoji706][emoji706][emoji706] niambie ni ndege gani ilikuwepo miaka mitabo iliyo pita? Wakat ndege ya kwanza ilikuj december 2017 ..izo zilizo kuja miaka mitano ni zipi ww mkunya wa uunyee
Manake atcl ilianzishwa 2017 sio[emoji122][emoji122]
Hamjui faida nyie shrika lenu lishajinyea tangia kikwete ni kijana kwao kijijini
 
Atcl imepata hasara miongo karibia mitatu, we unaongelea miaka mitano hapa[emoji23][emoji23]
Hata ingekua ni miaka miwili bado haifanani na haitafanana na hasara ya kq mpaka dunia inasimama🤣🤣🤣🤣
 
Hata ingekua ni miaka miwili bado haifanani na haitafanana na hasara ya kq mpaka dunia inasimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnachezea hasara ya billion dollars, hyo tunaita shirika kujinyea[emoji23]
 
Ukipata hasara ya billion dollar nitag nifunge acc sasa hvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana ndugu[emoji23][emoji23]
Only in tanzania shirika linapata hasara levels za jehanamu
 
Baada ya kupata hasara miaka nenda miaka rudi yule genius wenu feki akaja na idea ya kiboya zaidi kuliko za wenzake..

Jamaa kaongezea juu hasara ya dollar bilioni ya mtaji kufufua mfu mwnye madeni tele akitarajia atasifika kw kuficha madudu...
Rais mfisadi kuliko wote wale sai mambo yamewekwa hadharani
Yule hamumwezi ndio maana alitajwa kiongozi bora africa kwa mambo alioyafanya kwa muda mchache sana na bado investment inaendelea Air tanzania 😅😅😅 mm nilifkiri labda hara hata walau nusu ya kq kumbe hata ukucha haujafika
 
Yule hamumwezi ndio maana alitajwa kiongozi bora africa kwa mambo alioyafanya kwa muda mchache sana na bado investment inaendelea Air tanzania [emoji28][emoji28][emoji28] mm nilifkiri labda hara hata walau nusu ya kq kumbe hata ukucha haujafika
Hatushindani na shirika ambalo limejinyea kw zaidi ya mara mbili sasa
 
Back
Top Bottom