Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Tuliza kinyambis, utaelewa tuHow will the passengers board the buses, watakuwa wanasimamia barabarani? Do these people have brains?
Tuliza kinyambis, utaelewa tuHow will the passengers board the buses, watakuwa wanasimamia barabarani? Do these people have brains?
Naona mama Samia kavaa mask katika hafla inayofanyika Uganda. Hio ni ishara nzuri kwamba Mhe Samia anaheshimu sayansi na hafuati ramli zinazopigwa na waganga vijijini. Corona haina tiba na haitibiwi kwa uganga wala uchawi, fuateni sayansi muwache mambo ya kupiga nyungu.
Nikuulize swali, hizo sayansi mnazopigia upatu mbona hazija tokomeza kirusi hadi sasa hivi?
Wema hauozi.Huyu mzee licha ya maslahi ya taifa lake lkn huwa anaonesha mapenzi ya dhati kwa Tz na hajawahi kusahau kulipa fadhila kwa Tz tofauti na SA.
Sent using Jamii Forums mobile app
You care so much that's why you insinuating non of your business on other people's stuff, hivi if you mingle your own portion, what gonna be wrong? Kenya goes through very trying time for 3 years now single handedly in a row and no Tanzanian gives a shit, hamjifunzi?You guys thrive in lies and deciet. Whasup . What is the problem, saying the truth, no one will beat you. C'mon good neighbours. We don't care.
Embress the truth whether good or bad, the world can smell your shit. Anyway.
Shida iko wapi kwani, tuna miradi muhimu kuliko hilo bombaWewe jamaa bado ujaamini kama hii pipeline inakuja Tanzania!
Kwa kujikweza mpo vizuriShida iko wapi kwani, tuna miradi muhimu kuliko hilo bomba
Uganda na tanzania sio priority tena kwetu, lengo letu ni kuunganisha ethiopia na s.sudan na bandari ya lamu.Kwa kujikweza mpo vizuri
Taja mradi gani muhimu upo Kenya kwa sasa?Shida iko wapi kwani, tuna miradi muhimu kuliko hilo bomba
LapssetTaja mradi gani muhimu upo Kenya kwa sasa?
Lapsset
Expressway
Western bypass
Mombasa-mariakani highway
Brt nairobi
Konza technopolis
Na kadhalika.
Total value of money released/available for all these shadow projects don't exceed $1B.Lapsset
Expressway
Western bypass
Mombasa-mariakani highway
Brt nairobi
Konza technopolis
Na kadhalika.
Show us budget for your fake BRT, where the money comes from?hio ndo miradi muhimu?


.Show us budget for your fake BRT, where the money comes from?
Ukiulizwa swali jibu swali 🤣🤣 au swali la motoTuliza kinyambis, utaelewa tu