Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
Ww ndio uliandaa hio mikataba??😁😁😁Naskia FID haitatiwa saini. Itakuwa mikataba mengine tu ndio itatiwa saini. Lakini wacha tuone.
Hii ni render ?? Wewe unawazimu wa kichwa wewe🤣🤣🤣🤣Mbona unaweka render?
😂😂😂😂 bila shaka tony kashajinyea hapoLikoni pedestrian bridge is falling down! !
🤣 🤣 🙄👆
Jirani kanunaaaa
Yani kenya tunadharau sana, yaani uhunye kawatumia waziri wa michezo 😂😂😂😂 au kwa vile muna michezo😂😂
Ichoboy Tony anasema umeweka render [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona unaweka render?
Huyo tony wakat mwengine ganzi tupu😁😁Ichoboy Tony anasema umeweka render [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
KOT wapo kimyaaa! Wakiugulia....😂😂😂😂 bila shaka tony kashajinyea hapo
Wako speed ....patasaidia