babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]