Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa mavi yamegonga chupi, Uganda ambayo ndio wanayosema ndio ndugu wao wa damu na "the biggest bussines partner" Leo tena sio muhimu?, muda sio mrefu watasema Ethiopia sio muhimu, sasa hivi kipaumbele ni kufanya biashara na Alshabaab.
Soko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.
 
Wamevuliwa chupi na CAG😂😂waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo😂😂😂😂
Huu uzi hawana hamu nao😂😂😂
 
Soko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.
Who told you imeshafika ukomo kama sio desperation yenu baada ya kuona Uganda imeamua kuelekeza nguvu zake kwa Tanzania?, with all civil unrest in both SS and Ethiopia, which market do you expect from those failed states, nor wonder Uhuru Kenyatta haraka sana ametuma ujumbe kuja Tanzania, anajua ndio nchi pekee Kenya inayoitegemea pakubwa sana ukanda huu
 
CAG...rudi ukasome CAG....bado nitakukumbusha hadi uerevuke...
Wamevuliwa chupi na CAG😂😂waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo😂😂😂😂
3B62E516-CB9F-478D-B56B-792A2CC330CD.jpeg
 
Yani hii ndio kazi amefanya pekee elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanza

uende wapi na unatakiwa uonyeshe hivyo vitu mmetaja.
 
Back
Top Bottom