Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na
 
Jamani nchi zote za Afrika zipo sawa.Huwezi kutofautisha.Kama uchafu upo kariakoo,manzese hata Nairobi vivyo hivyo.Sema kitu kimoja.Nchi 3 za kiafrika ndizo zinazoogoza kwa uchumi nazo ni Nigeria,South Africa na Kenya.Angola inazidi kusogea kutokana na mafuta yao.
 
Hii biashara mfunge tu..tangu muanze hamjawai nusa ata profit..ni losses tu...
1618162547813.png
 
Jamani nchi zote za Afrika zipo sawa.Huwezi kutofautisha.Kama uchafu upo kariakoo,manzese hata Nairobi vivyo hivyo.Sema kitu kimoja.Nchi 3 za kiafrika ndizo zinazoogoza kwa uchumi nazo ni Nigeria,South Africa na Kenya.Angola inazidi kusogea kutokana na mafuta yao.
Kenya inaongoza africa tangu lini?Acha kuchekesha walionuna
 
You guys thrive in lies and deciet. Whasup . What is the problem, saying the truth, no one will beat you. C'mon good neighbours. We don't care.

Embress the truth whether good or bad, the world can smell your shit. Anyway.
Truth ya nn sasa, kwahiyo unataka kusema hyo habari ya kusainiwa mkataba wa EACOP ni uwongo au sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You guys thrive in lies and deciet. Whasup . What is the problem, saying the truth, no one will beat you. C'mon good neighbours. We don't care.

Embress the truth whether good or bad, the world can smell your shit. Anyway.
Wewe Mutaitina umeanza kuonesha Ukenya wako ss

D=Denial
N=Negotiation
A=Acceptance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom