Siwezi kukujibu swali lako kwasababu sijawahi kutumia basi kusafiri nchini na hata hapo stendi sijawahi kufika, hivyo hayo mazingira siyafahamu. Labda tafuta mtu mwenye maelezo zaidi kuhusu kwanini hiyo stendi inaleta foleni! Sikiliza pande yake na ujue kama ni ukweli ama uongo na si kuuliza watu wasiojua ili ujitie uhakika kuwa unachokiamini ni sawa. Halafu, tatizo wewe unaingiza agenda mpya kwenye kila reply yako. Nilikwambia kuwa unapenda sana conspiracy theories! Sasa hivi unaniuliza kuhusu kifo cha Magufuli na kwanini hakuna anayehoji nini kilimtokea. How on earth am I supposed to answer that? I do not work for the TISS and I do not work for the government! Hizi ni stories za kudiscuss vijiweni na kila mtu anatoa wazo lake na hakuna ukweli thabiti. Na pia tafadhali mimi sio "submissive"! Ninaweza kukwambia pia wewe ni submissive kutokana na msimamo wako wa kile unachokiamini!Nimekuuliza swali dogo tu. Stand ya Mbezi Luis inaletaje foleni??
Mimi sio mshabiki, but a person with an unaltered state of consciousness, that is, profound truth and profound understanding.
Magufuli kafa watu hawahoji kafaje, afe rais wa Wazungu jws style ile uone kama pangekalika.
You are too submissive, ndio maana whites call us, "Monkeys".
Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade
Aren’t you the one who sent me the tweet below?
View attachment 1747423
You support the assumption that Presidents Hassan isn’t good or strong enough to carry the legacy that Magufuli started. Unaniambia kuwa kuna umuhimu wa kuhoji hii report je, uko tayari kuhoji baadhi ya facts zilizokuwa zinatolewa wakati wa Magufuli?
Wacha kuropokwa bila ushahidi. Wacha kuharibu jina ya watu.Mimi nilishahisi huyu mama kaniulia Rais wangu
Wasomi wenzangu wanafanaya nini? sijakuelewa naona kuna typo hapo. Unasema kuwa uko tayari kuhoji credibility sio? How certain are you that every single fact that Magufuli said was true? As an academic, I always needed to cite my sources whenever I would write a thesis. What are your sources?Ndio niko tayari.
Nipo tayari kusikiliza such facts ila lazima nihoji pia credibility ya huyo mtu or source(s).
Wewe umesoma huko America sijui, sasa unapoona kuna wasomi wenzako wanaekea kulia, should be a wakeup call, kulikoni?
Ni wachache sana huelekea njia ilee nyembamba, na wengi huekekea ile iliyo easy kama ilivyoletwa na CAG bila kuona motive ta hii kitu.
Siwezi kukujibu swali lako kwasababu usafiri sijawahi kutumia basi kusafiri nchini na hata hapo stendi sijawahi kufika, hivyo hayo mazingira siyafahamu. Labda tafuta mtu mwenye maelezo zaidi kuhusu kwanini hiyo stendi inaleta foleni! Sikiliza pande yake na ujue kama ni ukweli ama uongo na si kuuliza watu wasiojua ili ujitie uhakika kuwa unachokiamini ni sawa. Halafu, tatizo wewe unaingiza agenda mpya kwenye kila reply yako. Nilikwambia kuwa unapenda sana conspiracy theories! Sasa hivi unaniuliza kuhusu kifo cha Magufuli na kwanini hakuna anayehoji nini kilimtokea. How on earth am I supposed to answer that? I do not work for the TISS and I do not work for the government! Hizi ni stories za kudiscuss vijiweni na kila mtu anatoa wazo lake na hakuna ukweli wa thabiti. Na pia tafadhali mimi sio "submissive"! Ninaweza kukwambia pia wewe ni submissive kutokana na msimamo wako wa kile unachokiamini!
Kama roho zenu sio?Usishangae ikihairishwa tena. This deal is cursed.
🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.Good!
Sasa kama hujui nini kilichopo pale Mbezi Luis, basi huna sababu ya kushadadia mengine aliyosema CAG.
Ni kweli kwa sasa kunafoleni kwakua daraja la Mabasi kutoka terminal ndio linajengwa na lipo kwenye renda. Na amesema Stend inaleta foleni, how? Wakati bado inajengwa?
Nyinyi ni juniour partners kwenye mradi huu. Tulizeni nyege.Kama roho zenu sio?
Mkuu politicians wengi hutoa honey words...lakini kwenye actions huwa zero...mfano wa politicians wa taifa la kaskazini....katika hili JPM alikuwa a man of actions ukiachia mbali mapungufu aliyokuwa nayo hata ndiyo hututambulisha kuwa sisi ni wanadamu....siwezi kumjaji our mother kwa SASA kwa kuwa ni mapema sanaaaaa...Mungu atusaidie...amsaidie mama yetu...Mungu ibaeiki TZNimependa speech ya mama na watangulizi wake leo...Heri kwa kwao,well balanced.... taratibu tu tutamuelewa mama,Si lazima ukawa mkali kwny matamshi yako...matendo ni kila kitu.Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu na taratibu za kisheria ni kuzifuata atakayekiuka ashughulikiwe mara moja bila kupepesa macho sheria ni msumeno.
Tunamshukuru sana mzee wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kutujengea msingi imara wa Taifa letu tena ndani ya muda mfupi sana.. Ilikuwa ni kujidanganya kwenda mbele bila kuwa na msingi huu imara mambo mengi yamekaa sawa.. kuanzia kwenye ulinzi na kunufaika na rasilimali zetu,miradi ya kimkakati,urekibishwaji wa sheria zisizo na tija,uwajibikaji, centralization...na n.k,leo hii mtumishi hashiki hela mkononi ni mwendo wa control numbers tu pia kuna mifumo inayofuatilia mapato na matumizi ya taasisi zetu za umma nchi nzima implementation inakwenda vizuri kazia hapo hapo,kila la Heri Mama uko kwny sala zetu kila uchao.[emoji1545][emoji1545][emoji1545].
Haya ndio mambo tunayoyataka sio kuongea tuumama samia kutembelea Uganda jpil.. hii ni kuhusu lile bomba.. this is probably a reason kamtuma Dr Mwinyi kumuakilisha mozambique
Mzee baba mm ndio njia yangu iyo kwa kifupi mradi bado hujakamilika na foleni sana ipo sehemu ya abiria kuvukia kwa sababu bado footbridge hajakamilika kwa hayo machache utakua umenielewa🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.
Sasa chini ya kiwango kwasababu hamnaa wavaaji zaidi ya wafanyakazi wa mahospitalininajaribu kupotezea ila hii umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
what’s its implications? tununue za nje????
Yani hii ni fulu kuchafuana tuu hamna lolotenajaribu kupotezea ila hii umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
what’s its implications? tununue za nje????
Mkuu...JPM alitambua kuwa madini...si mbogamboga wala matunda kwamba wasipochimba yataharibika....ndio maana aliwavimbia....natamani sana mama alitambue hili...wakizingua awazingue tu infact there will be a price to pay but as long is for the betterment of our future we are already to pay/endure na uzuri jpm alianza kutuzoeza na watanzania wengi tulianza kuzoea....ingekuwa kaskazini wangeanza kuandamana...washukuru mikopo huwa inawapa nafuu cos politicians wakiiba WANAANZA kuzifuja na kitaa zinaonekana in a short time....ndiooo hiyo ni characteristic ya corruption...ndo maana wakati wa awamu flani huku kwetu pesa ILIKUWA njenje as long you are among of mishemishe town.. connectioniiiiiii..."Sisi ndio wahitaji"??? Kwani wao wametoka huko ulaya mpaka TANZANIA sio wahitaji!? Yaani huyu mama aise!!! Mm nakumbuka Magu akipokea ripoti ya makinikia,wazungu walitutshia kuondoka, akasema,"natamani kusikia wameondoka hata leo" badala yake,wakaomba mazungumzo na Magu,Sasa huyu mama Anawaruhusu watukanyage wanavyotaka. Madini yataanza kugawana tena na Hawa wazungu mda si mrefu wataanza kutuwekea masharti ya ajabu.mm huyu mama nina mashaka naye tokea mwanzo.wanaosema tumpe mda ni vipofu hawajafunguka macho.
Kamvua nguo kivipi?Me nakwambia ninapofanya kazi raia hawamuelewi kabisa huyu mama, kila mtu ana hasira kichizi na tayari conspiracies kwamba anahusika na kifo cha mzee zinajiumba
Ameanza vibaya sana, yaani Ameanza uongozi wake kwa kumvua nguo mzee na kutuaminisha uongozi wake na maamuzi yake mengi kama sio yote yalikua hovyo [emoji174][emoji22]
Inabidi mama asiwachekee hawa watu awapeleke mahakamani!najaribu kupotezea ila hii umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
what’s its implications? tununue za nje????
Then i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.Wasomi wenzangu wanafanaya nini? sijakuelewa naona kuna typo hapo. Unasema kuwa uko tayari kuhoji credibility sio? How certain are you that every single fact that Magufuli said was true? As an academic, I always needed to cite my sources whenever I would write a thesis. What are your sources?