Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru maloan aka borrow yeng
Screenshot_20210405-172701_Facebook.jpg
 
Wacha bana. Siongelei vitu za kijinga, umewahi sikia kitu kama IAAF wakileta mashindano kwingine kama sio Kasarani!?

Kwa sasa tunajiandaa na World Under 20 Athletics. Over 90 countries confirmed.

Halafu World Safari Rally. Its venue will be Kasarani.
Si ulikuwa unaongelea international meets??!?..au ushasahau!!??..ndo maana nili-doubt kama unajua hata international meets ni kitu gani,anyway IAAF usiifananishe na football tournament yoyote ile..
 
Nimependa speech ya mama na watangulizi wake leo...Heri kwa kwao,well balanced.... taratibu tu tutamuelewa mama,Si lazima ukawa mkali kwny matamshi yako...matendo ni kila kitu.Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu na taratibu za kisheria ni kuzifuata atakayekiuka ashughulikiwe mara moja bila kupepesa macho sheria ni msumeno.
Tunamshukuru sana mzee wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kutujengea msingi imara wa Taifa letu tena ndani ya muda mfupi sana.. Ilikuwa ni kujidanganya kwenda mbele bila kuwa na msingi huu imara mambo mengi yamekaa sawa.. kuanzia kwenye ulinzi na kunufaika na rasilimali zetu,miradi ya kimkakati,urekibishwaji wa sheria zisizo na tija,uwajibikaji, centralization...na n.k,leo hii mtumishi hashiki hela mkononi ni mwendo wa control numbers tu pia kuna mifumo inayofuatilia mapato na matumizi ya taasisi zetu za umma nchi nzima implementation inakwenda vizuri kazia hapo hapo,kila la Heri Mama uko kwny sala zetu kila uchao.🙏🏿🙏🏿🙏🏿.
 
Back
Top Bottom