Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya mambo yao tofauti sasa
20210402_233359.jpg
 
Kuna mambo ni ngumu sana kumlinganisha JPM na wengine.
1.
Namuona mama kama anategemea report za watendaji wake, JPM alikuwa anafanya Utafiti ukileta report usishangae akakuambia ni utopolo.
Mfano.
Report zilionyesha Hatuwezi kujenga viwanda vya kuchakata dhahabu.
Report zilipinga bwawa la nyerere.
SGR ilipingwa na wb etc

2.
Uwezo wa kuanzisha miradi mikubwa tena kwa kiwango kikubwa kutumia fedha za ndani.

3.
Jpm alikuwa anaijua Tz yote na rasilimali zilizopo.

4.
Mama ajaribu kuwa makini sana na wafanyabiashara, duniani kote hakuna anayependa kulipa kodi, hata wafanyakazi wangekuwa wanapewa pesa yote then walipe kodi wenyewe kwa hiari ingekuwa balaa.

Jpm alisema ukiona unasifiwa jiulize umekosea wapi, ukiona wanalalamika kamatia hapo hapo.

Maoni yangu kwa Mama hadi sasa namuona ni mzuri kwenye makaratasi namsubiri kwa ground ndio ntatathmini vizuri.
We anglia kama marekani mabilionea hawalipi kodi we imagine mijitu kama Jeff bezos wanalipa kodi kidogo sana ukilinganisha na utajiri wake trump ndio kabisa alikua halipi sasa itakua mfanyabishara wakawaida wabongo
 
Mambo yakiendelea hivi Kenya tutachukua hatua. Pamoja na hii, mtu atafute Numeral IOC kutoka Kenya.
Screenshot_20210402-153243.png
Screenshot_20210402-153301.png
Screenshot_20210402-153225.png
 
Mambo ni mengi mda ni mchache kuna rafiki yupo canada aliniambia wazungu walikua wanafurahia kifo chake uko canada yani alikua anajulikana mpaka na wazungu wachini
Kwa kizazi hiki cha Magufuli hakuna rais alikuwa popular km yeye, jina lake gumu kwa wazungu lkn walikuwa wanalitamka vzr kabisa, yn Magu alikuwa star mpk Watz tukawa tunaona fahari mno, alifunika viongozi wote Africa hii kwa uongozi wake uliotukuka, nakwambia tumepoteza jembe imara, Watz tulikuwa hatuna wasi tulikabidhi mioyo yetu kwake yn yeye ndiye akawa dereva anachosema cc hatuna wasi wasi nacho.

Kila kitu ilikuwa Magu Magu Magu, haters wakachomoza wengine ndani ya chama kabisa baada ya kuona jamaa anapendwa mpk kero, kuanzia wananchi mpk jeshi wote tulikuwa tunamsikiliza yeye, yn km karama aliyopewa na Mungu basi hii ilikuwa haina mfano.

Ataimbwa kwa miaka mingi sn ijayo cz hata hapa tunavyoongea ni km bado anaongoza yeye, raia wengi bado hawataki kuamini kabisa km hatunaye tena.
 
Kwakweli mzee asingeweza kutoboa, aliwaudhi wakubwa wa dunia hii, lkn amekufa akiwa shujaa na mengi yataibuka na wale wapiga kelele za Lissu Lissu ningependa wasome hapa waone Lissu ni nani na anaitakia nn nchi hii.

Wakenya naomba msome hii article zen mjue covid-19 maana yake ni nini na kwa nini mzee wetu alikuwa anapambana kutuelimisha kuhusu huu ugonjwa wa wazungu.

Tony254 na Wakenya wote someni hii article zen muweke comment yenu. Roho imeniuma sana, kumbe ndiyo maana mzee alikuwa anasisitiza kwamba ame sacrifice maisha yake kwa ajili yetu daahhh so sad.

dah so sad! gone too early kwa kweli, na huyo lissu sidhan watu watamshobokea akirudi
 
asee [emoji15][emoji15][emoji15] wakenya angalieni vizur hii nchi yenu, inapoelekea sio pazur usd 2.34 billions loans kisa mambo ya corona???

angalieni huu mkopo unaenda kufanya nn?[emoji23][emoji38]

eti to reduce debt vulnerability? my foot
pili, to address state owned enterprises! KQ sio??
 
any update on ATCL? flight to london!

Air Tanzania wanamatatizo flani ya kutokuw serious sijui au hawa plan vizuri ..walishasema wanaanza Guangzhou ila naona wamefoward dates tena ..what is there problem .... London slots are easy to obtain but mpka sasa hola ...na dreamliner zimebaki kubadilishana route ya mumbai
 
Unataka zitue watu wagawane ndege zetu? China kuna restrictions ya ndege kutoka nje due to Covid.
 
asee [emoji15][emoji15][emoji15] wakenya angalieni vizur hii nchi yenu, inapoelekea sio pazur usd 2.34 billions loans kisa mambo ya corona???

angalieni huu mkopo unaenda kufanya nn?[emoji23][emoji38]

eti to reduce debt vulnerability? my foot
pili, to address state owned enterprises! KQ sio??

You know, our parliament is dead as a dodo. It should act as a check and balance for the executive. Raila shouldn't have gone for the handshake. The next government will not have money for development, only payment of loans!
 
Kwa kizazi hiki cha Magufuli hakuna rais alikuwa popular km yeye, jina lake gumu kwa wazungu lkn walikuwa wanalitamka vzr kabisa, yn Magu alikuwa star mpk Watz tukawa tunaona fahari mno, alifunika viongozi wote Africa hii kwa uongozi wake uliotukuka, nakwambia tumepoteza jembe imara, Watz tulikuwa hatuna wasi tulikabidhi mioyo yetu kwake yn yeye ndiye akawa dereva anachosema cc hatuna wasi wasi nacho.

Kila kitu ilikuwa Magu Magu Magu, haters wakachomoza wengine ndani ya chama kabisa baada ya kuona jamaa anapendwa mpk kero, kuanzia wananchi mpk jeshi wote tulikuwa tunamsikiliza yeye, yn km karama aliyopewa na Mungu basi hii ilikuwa haina mfano.

Ataimbwa kwa miaka mingi sn ijayo cz hata hapa tunavyoongea ni km bado anaongoza yeye, raia wengi bado hawataki kuamini kabisa km hatunaye tena.
Ukiwauliza wazee wanakuambiaje kabla ya jpm alikua sokoine kwaiyo tukae mkao wa kuliwa tu hatutompata kiongozi kam jpm kwa miaka ya hvi karibuni, stepu ya Kwanzaa mama kufeli ni kumwamin sana CAG ila Acha tuone mchezo mpira ndio Kwanzaa kipindi cha kwanzaa
 
Back
Top Bottom