Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ndiyo maana walimchukia sn Magu mana alikuwa hataki kusikia anapitwa na nchi ya kisenge km hii, ni aibu kwa Tz kupitwa GDP na Kenya hata kama wamefoji, ilitakiwa hata wakifoji basi watukaribie na co watupite, ni aibu mnoo.
Speed ambayo tunakuja nayo haijawahi kuonekana Africa hiii 😀kuna mambo mengi yanaendelea kwa ground Tanzania hii, ambazo ni essential kwa kila mwananchi wakija kuzinduka kwenye usingizi sis tutakuwa tumepiga extra miles😀😀😀
 
Mm
Mm yangu macho siwez kujudge mapema Acha nimpe mwaka kama kweli atatosha mboga kama magu

Tumpe mda mama akiyumba tunamkataa mapema 2025
Me namuangalia tu, akichemsha mbn kwenye huu uzi mtanichukia, mana jemedari alichokuwa ananifurahisha alikuwa anapiga panapouma. Mm ni graduate wa mda kdg na sijapata mchongo napiga mishe zangu tu ila nilikuwa namkubali sana jemedari mana alikuwa hapendelei wala hayumbishwi, ss huyu mama bado sijamwelewa naona kapiga chini Bashiru, ni safi Mana Bashiru halikuwa chaguo la jemedari sema ilimlazimu kumchagua mana hakuona mbadala, ss mama kapiga chini nahisi zile tuhuma za Bwana fulani huenda ni kweli.
 
Kweli Sana hii field ipo sensitive Sana akifanya upuuzi itajulikana tu,tufanye subira tuone performance yake ikoje
 
Kiukweli kabisa naona jemedari alikuwa mgonjwa kitambo, na ndiyo maana huenda alimchagua Bashiru pasipokuwa na ufahamu, Bashiru nahisi hana maadili.
 
Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccm
Magu wakati anamchagua huyu nahisi hakuwa sawa upstairs km unabisha ingia you tube muangalie vzr Magu usoni hakuwa sawa, waislamu wanasema tayari alikuwa alsakaratul maut cjui km nimepatia, ila naamini kabisa km Magu angekuwa vzr kabisa kichwani wala asingempa nafasi adhimu km ile. Ukimuangalia usoni Bashiru ni mpigaji me nakwambia.
 
Kiukweli kabisa naona jemedari alikuwa mgonjwa kitambo, na ndiyo maana huenda alimchagua Bashiru pasipokuwa na ufahamu, Bashiru nahisi hana maadili.

pia naanza kuamini katibu mkuu kiongozi lazima awe na chemistry flan hiv na Rais aliepo madarakani

kikwete na balozi seif
magufuli na balozi kijazi then baadae bashiru(kuziba pengo)
samia na huyu mpya (nadhan atakuwa ana uelewa nae vizur)
 
We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...

Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
We ni mpuuzi sana jomba
Msokoto ni msokoto tu jomba bado hujaamini..
Hzo ni baiskeli upende ukatae
 
We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...

Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
Nipe wewe hzo tofauti, manake mi ninavyojua msokoto ni msokoto tu..hzo ni baiskeli bado manake hata hizo hapo chini ni tricycle au hujui mzee baba..we umeona modification basi na wewe unafuata maneno ya kizungu..
Msokoto hata uekwe matairi manne bado ni msokoto tu

images.jpeg-51.jpg
images.jpeg-52.jpg
 
Back
Top Bottom