Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Huwa nafuatilia sana mambo haya ya majabali haya mawili.Nimeanza kuiogopa uchina. Hio video ya high speed rail imeniogopesha.
Mwaka 2008 walikuwa na km chache sana za reli za kasi ila sasa wanazizidi nchi zote (Japan, Spain, S. Korea, Germany n.k) zilizokuwa zimebobea kwenye sekta hiyo, combined. China bado wako nyuma kwenye baadhi ya maeneo ila speed yao ya maendeleo ni kubwa mno haijapata kutokea. Kumbuka hawa jamaa, maendeleo yao hayajatokana na utumwa au ukoloni mambo leo, kiufupi wanatisha.
Sababu ya kuwa na hizo reli ndefu ni za kiusalama zaidi, sekta ya anga inamilikiwa na mataifa mengine na hivyo waliona ni bora kuondoa utegemezi mapema. Pili sehemu kubwa ya anga lao ni no flying zone hivyo ndege za abiria ni lazima zizunguke sana na hivyo kuongeza gharama.