Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibu kila nchi ina homelessness crisis, Including China! In fact, China has one of the world’s highest homeless populations.

Go through that Wikipedia page and read more on homelessness in China.

I don’t know much about homelessness in China, but I’d say that homelessness in America is mainly caused by Economic factors. Major cities attract a lot of people who seek employment. Unfortunately, housing costs in major American cities like San Francisco, CA continue to skyrocket by the minute. Also, there’s capitalism. Cities don’t invest much on affordable housing! Leaving the people with lower wages in danger of being homeless.

Like I said before, homelessness exists virtually all over the world, however, the truth is you have a specific bias against the US. From the start you began by saying that China is the world’s leading military power, and I’m glad many people here and I proved you wrong. And then you went to the topic of skyscrapers, which I also contributed by dismissing the poor claims that you made about skyscrapers in the US vs China. And now you’re talking about homelessness. Get your facts straight before getting into discussions. I am well aware of the differences between the USA and China, and I can tell you that if you talk about quality of life, the US is definitely ahead of China.

Achana na Wikipedia kaka.

Wikipedia karibia zote kuhusu Tanzania zinaeditiwa daily na Wakenya, ukisoma unaweza dhania Kenya ni bonge la nchi na Tanzania ni nchi ya crime kama Somalia.
 
Naona na kule Chang'ombe mambo fire [emoji91] jamani Wakenya natoa tahadhari, kufikia mwishoni mwa mwaka huu tusitafutane uchawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn mwakani bado tu mzee baba
 
China wako juu sana aisee!!!
Tuje kwenye airlines (Hizi zina operate most ndani ya China)

AirlineFleets
Air China447
China Eastern Airlines579
China Southern Airlines622
Hainan Airlines221
Shanghai Airlines96
Shenzhen Airlines195
Sichuan Airlines168
XiamenAir169

Hebu tuweni wakweli katika hili. Kuna mtu anaweza kuweka Mashirika ya ndege ya Marekani na ndege zake!?
 
Pande za anga ukweli usemwe marekani ndio baba lao mzee baba, hapo umebugi kiasi..km ni sector reli sawa lkn anga marekani wako mbali sana..

Wamezifanya km "dala dala" kule kwao
 
Kwn aliyesema kwamba Magu atakuwa hafi nani, nani huyo mwenye mamlaka ya kuzuia kifo hebu tuambie tumjue.

Yn hii mikenya nilikuwa cjui km ni mijinga, yenyewe iko kipesa tu kila kifo ni corona ili ipige hela, yameweka pesa mbele mpk yanasahau utu, hivi wewe bogus km Magu angekufa kwa corona unadhani SSH angeendelea kudunda bila barakoa? Hutumii japo akili ndogo km ss hilo bichwa ulipewa la nn?
Mtavaaje barakoa na nyinyi ni vilaza fuata upepo? Watu wa kudanganywa mchana peupe na kukubali bila kufanya udadisi na kutumia akili hata kama ni ya kuzaliwa?
 
China wako juu sana aisee!!!
Tuje kwenye airlines (Hizi zina operate most ndani ya China)

AirlineFleets
Air China447
China Eastern Airlines579
China Southern Airlines622
Hainan Airlines221
Shanghai Airlines96
Shenzhen Airlines195
Sichuan Airlines168
XiamenAir169

Hebu tuweni wakweli katika hili. Kuna mtu anaweza kuweka Mashirika ya ndege ya Marekani na ndege zake!?
United airline 800+
American airline 800+
Delta airlines 700+
Southwest airlines 700+
Niendelee?!
 
Kwn aliyesema kwamba Magu atakuwa hafi nani, nani huyo mwenye mamlaka ya kuzuia kifo hebu tuambie tumjue.

Yn hii mikenya nilikuwa cjui km ni mijinga, yenyewe iko kipesa tu kila kifo ni corona ili ipige hela, yameweka pesa mbele mpk yanasahau utu, hivi wewe bogus km Magu angekufa kwa corona unadhani SSH angeendelea kudunda bila barakoa? Hutumii japo akili ndogo km ss hilo bichwa ulipewa la nn?
Nyie ndio mlimchongea yule mzee, mara sijui aongoze miaka 30 wengine milele..wakati huo lkn ilikua unajitia hujui km kuna kifo, leo hii ndio mnajotia waungwana..

Mtu keshakufa na lake limeisha, hili la kumtaja taja ya nn..

Wakenya na watz achaneni na mzee wa watu
 
Mtavaaje barakoa na nyinyi ni vilaza fuata upepo? Watu wa kudanganywa mchana peupe na kukubali bila kufanya udadisi na kutumia akili hata kama ni ya kuzaliwa?
Vipi ushatayarisha tako kwa ajili ya sindano [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]?
Screenshot_20210401-075347.jpg
 
Acha upambe mtoto wa kiume wewe, unajiremba waozwa kwn? Au ndio wale wale watoto wakiume kutawishwa
kwan ve'pee? yani nkaze ata nkiongea na kigagula mtt mzuri ka demu wa kuchora?
ni dhambi ujue@komora096
 
Nyie ndio mlimchongea yule mzee, mara sijui aongoze miaka 30 wengine milele..wakati huo lkn ilikua unajitia hujui km kuna kifo, leo hii ndio mnajotia waungwana..

Mtu keshakufa na lake limeisha, hili la kumtaja taja ya nn..

Wakenya na watz achaneni na mzee wa watu
Tatizo la Wakenya mnakuwa na unafki fulani, hapo ningekuona mtu km ungemkoti huyo pimbi mkenya mwenzio aache hayo mambo ya Magu yashapita lkn unanikoti mm.
 
Back
Top Bottom