Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera sio kijiji na wala hakuna anayepamiliki kw taarifa yako..
Unafikiria kibera nkm tandale watu wanajimilikia upupu mjini
Kwahiyo unataka kufananisha Kibera na Tandale, serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids
Sama boy, Uchina wako vizuri kwenye mambo fulani fulani kwa mfano high speed rail.

Aisee wachina ni mashetani kwenye hii sector. Hawachezi. Wanamiliki 2/3 of the world's high speed rail network.
 
Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids
Nimeanza kuiogopa uchina. Hio video ya high speed rail imeniogopesha.
 
eeh[emoji15]
wapi girl maria fc[emoji23][emoji23][emoji23]
20210401_203653.jpg
 
Mwigulu kishakua boss wa mpango nyakati za jk,mwigulu mchumi mzuri tu sema aache kutanguliza siasa apige kazi

Mwigulu hamzidi Mpango, alikua boss wake kwakua Mwigulu aliingilia kwenye Mlango wa siasa na kuwa Waziri. Ila kwa sasa, Mpango ndio Boss wake na kamzidi kwa kila kitu na hana budi kusikiliza maelekezo.
 
Back
Top Bottom