Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ndio watu hawafi kwa hizo vitu umetaja? Your level of hate and bile is sickening!
Tz tunakufa kwa hayo magonjwa na ndiyo maana tumechukulia kwamba covid ni moja ya hayo magonjwa ila lenye very little impact na ndiyo maana tunadunda bila barakoa wala lockdown, yn kwa kifupi hatuna habari na corona, mpk hao wenye biashara yao wakisema imekwisha basi hawatakuwa wamepiga pesa from Tz.
 
mzizima likiisha litakua mwana ukome
20210331_162725.jpg
 
Back
Top Bottom