Ndugu siyo kila jambo linakuwa solve immediately kiasi hicho, Suala la makazi holela huwezi kulizuia tu kwa kutoa tamko. Kumbuka wanaogawa viwanja siyo wizara ni halmashauri za majiji, manispaa, miji na miji mdogo. Je hizo halmashauri za majiji, manispaa, miji na miji zina fedha za kupima viwanja kulingana na kasi ya ukuwaji wa miji? Kama hazina ina maana waziri asitopishe ujenzi katika squarter area halafu then hupimi viwanja unategemea utaeleweka sana na wakati huo huo bosi wako (rais) anahitaji kura. Kabla ya JPM miji na majiji na manispaa zilikuwa na masterplan ya hivi karibuni? Viwanja havipimwi bila masterplan ya mji na kuandaa masterplan inachukua muda mrefu kidogo. Haya mambo tunayaongelea kinadharia zaidi ila ukienda kwenye ground ndio maana nasema hii wizara ni ngumu. Hata hivyo wizara imeweza kufanya master plan ya majiji na miji kwa miaka 20 au zaidi ijayo. SI-SUPPORT UJENZI HOLELA ILA PIA HILI TATIZO LA MAKZI HOLELA HALINA SOLUTION YA MUDA MFUPI INACHUKUA MUDA!Atoe japo tamko kuhusu ujenzi holela, je we unapenda huu ujenzi wa kipumbavu unaoendelea hapa nchini hasa Dar? Km hupendi je nani anayepaswa japo kukemea ujenzi wa aina hii km co waziri mwenye dhamana.
Ameshindwa japo kutoa tamko la kuzuia ujenzi wa namna hii ss utasemaje tumvumilie waziri goigoi km huyu? Hawezi kazi plus history yake ya upigaji nnayo so simkubali kabisa huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
MY TAKE
Naona safu imepanguliwa wale jamaa wenye miili mikubwa waliokuwa wakisukuma watu ovyo nje!
Hana msimamo pia ni muoga muoga, hatufai.Kwenye Mazishi ya Magu,Jafo allikuwa amevaa,leo sijamuona akiwa nayo, nahisi alinyoshewa kidole
Sidhani change of guard means new security team! Ndo nitokee hiyo!labda wapo off for a while sababu ya msiba au sababu ya hio location (ikulu) [emoji23].. kuna yule mmoja hapo nyuma bado yupo
Jafo kuna tatizo moja tu linalomsumbua huwa anasiasa flan hivi kwenye utendaji.....
imekaa kimiyeyusho sanaMoja ya stand za BRT kule Mbagala, picha haijatoka vzr, ila wakuu hii stand tumepigwa.View attachment 1736723View attachment 1736724
Sent using Jamii Forums mobile app
kubwa itatengenezwa mbele kabisa ila si mbali sana na hapo na yenyewe itakuwa upande wa kulia kama sikoseiHapana co, haka ni ka sub stand tu kapo pale Zakhem ila nmeambiwa kubwa ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
sanaa mkuu,,,,,kuna miyeyusho flan ivi imejikinga kwenye jua kwa mwamvuli wa lenzi
hii wizara ni kimeo ina ugumu sawa lakini kuna uzembe mwingi,,,,Ni hivi sijawahi skia Afisa Ardhi held accountable na huyu unayemtetea!
ni kweli kabisa ana vipropaganda flan ivi....Mara nyingi sana huwa siwaamini viongozi waongeji sna linapokuja kwenye utendaji kazi. Huyu jafo japo anajitanabahisha kuwa mpambanaji lakini huwa sina trust sana naye. Yupo kisiasa sana kuliko kiutendaji na uajibikaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thread 'Kenya: Mbunge wa azindua runinga iliyotundikwa ukutani' Kenya: Mbunge wa azindua runinga iliyotundikwa ukutani
I feel you, son.I miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.
I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dady [emoji24][emoji24]View attachment 1737226
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hz mmapita right hand side?Mwarabu koko ichoboy01 bado unaamni marehemu anamfika uhunye kwa barabara,View attachment 1735848
He he heeeEver heard of something called plagiarism, unaweza tumia render ya mradi mwingine madamu zinalingana.