Sio vzr kuongea mambo ya watu ila kuna jamaa yangu alinipa story moja hv kitambo kidogo, yeye alikuwa dereva nyumbani kwa Lukuvi, anakuambia kuna wakati alikuwa anamsikia anaongea na simu anasema "hii dili yule mkuda asijue ataharibu" huyo mkuda wanayemzungumzia ni Magufuli enzi hizo akiwa waziri wa ujenzi.
Unaambiwa hiyo ilikuwa michongo ya dili za dawa za kulevya makontena yanaingia, lkn kuna ishu zingine Magu alikuwa anasema "mama yangu hii hapana Mungu hapendi" japo jamaa aliniambia kuna dili ambazo Magu alikuwa anazikubali lkn zingine alishindwa kabisa kuvumilia na ndiyo maana baadhi ya mawaziri wakawa kama wanamkataa, kumbuka enzi hizo Magu ni waziri.
Jamaa yangu aliniambia Lukuvi alikuwa anarudi na mabegi ya pesa kila siku kwa dili haramu walizokuwa wanapiga.
Sent using
Jamii Forums mobile app