Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Mbona hawatasign FID? Sababu walizotoa ni gani?
mkutano uneahirishwa. kufika kwenye FID bado. waliatakuwa wasign TTA and SHA
Mbona hawatasign FID? Sababu walizotoa ni gani?
mkutano uneahirishwa. kufika kwenye FID bado. waliatakuwa wasign TTA and SHA
now this is one of the hugest respectsbeen shown for him. wherever he is, i hope he’s smiling. Rest In Power President!
View attachment 1732122
wacha upunga, mr London bridge is falling down!Kwenye lugha ya Kiingereza hamna neno kama "hugest".
Kuna yule mjuaji anatakiwa aone hii.helicopter ya JWTZ. sijawah kuiona View attachment 1732137
Sherehe ya utiaji saini uliahirishwa kwa sababu Tanzania haikuwepo. Hii ni tripartite agreement. All three parties must be present for the agreement to be signed. Tanzania lazima iwepo ili mkataba utiwe saini.Sababu ya kuhirishwa ni nn?ulivyo fala sasa!
Na sababu ya Tanzania kutokuwepo? mzee hebu deal na yanayowahusu!!Sherehe ya utiaji saini uliahirishwa kwa sababu Tanzania haikuwepo. Hii ni tripartite agreement. All three parties must be present for the agreement to be signed. Tanzania lazima iwepo ili mkataba utiwe saini.
nishakuwa fala tena mkuu. au hujaelwa hiyo article. kama hujaelewa sema ueleweshweSababu ya kuhirishwa ni nn?ulivyo fala sasa!
kabla ya FID, kuna TTA na SHA kwanza. nahisi kuna more contravts to be sugned b4 FIDMbona hawatasign FID? Sababu walizotoa ni gani?
Sherehe ya utiaji saini uliahirishwa kwa sababu Tanzania haikuwepo. Hii ni tripartite agreement. All three parties must be present for the agreement to be signed. Tanzania lazima iwepo ili mkataba utiwe sasa
Nilimwambia teargass tanzania haiwezi kuonesha kila kitu hadharani 😀😀😀helicopter ya JWTZ. sijawah kuiona View attachment 1732137
Sababu ya kuhirishwa ni kwa sababu ya msiba,wa Taifa,na kuiisha tunaenda kusaini,najua mnaombea huu mradi inawauma na mnaomba usiwe signed,Ila ndo imetoka hiyo.chukua na hii
Rugemila na sethi ?? Majizi walioitia tanesco kwenye madeni makubwa vipi umewasahauHakuna Rais aliwahi kuwaachia majizi,nani kafungwa kwa wizi awamu hii? Ukipata jibu nitag
ni kweli kabisa. The citizen reports the same thingMambo ya Tanzania au JPM kujiamini imetokea wapi sasa? Tripartite agreement haiwezi kutiwa saini ikiwa parties wote hawapo. Sio kwamba nyinyi mmejiamini kushinda Waganda au Total ni kwamba party moja akikosa kujitokeza basi agreement haitasainiwa. Hata Total akikosa kuja kwenye meza basi agreement haitasainiwa. Hata Uganda asipokuja matokeo ni yale yale. Na wala jambo hili la kuahirisha kutia saini haina uhusiano wowote na kujiamini kwenu au ushujaa wenu.
Sio jambo la kawaida kuruka sections kwenye ujenzi wa reli.
Umeeleza vizuri sana nilikuwa nataka kumgonga na nondo hizihizi! JPM was a stategist! Halafu hakuishia hapo ujenzi wa wagon ferries pia! Hata Uganda imefufua ferry wagon zake nimeona juzi Mv Pamba ya Uganda nayo inafufuliwa! JPM was such an influence!!Kweli si jambo la kawaida lakini ndiyo tofauti ya genius na watu wengine.
1. Magu alifanya wizara ya ujenzi kwa miaka mingi sana, hivyo alikuwa anajua changamoto zake. Baadhi ya wakandarasi wakipewa mradi mkubwa huwa waweza kuchelewesha au kulipua mradi kwasababu ya kupeleka vifaa vichache site ili kupunguza gharama.
2. Kuondoa changamoto hizo akaamua kuuvunja vunja mradi katika vipande vitano vinavyojitegemea ili kuweka ushindani. Na kama mkandarasi akivurunda, basi itaonekana wazi na hivyo mwingine kupewa vipande vilivyobaki. Hakuna mkadarasi atakayependa kuonekana mbabaishaji na hivyo kuwalazimisha kujenga kwa kiwango cha juu.
3. Kipande cha mwisho (Mwanza - Isaka) kilichaguliwa kwanza ili kuwaonesha Museveni/Kagame kuwa alimaanisha kuijenga reli yote. Pia kuwaeleza waachane na mawazo ya kufikiria kujenga reli zao kuelekea Malaba (reli ambayo imeishia Naivasha) wakati teyari kuna reli ya karibu inajengwa.