curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Black huyoIcho ndio kingereza cha billionaire?acheni utani
Black huyoIcho ndio kingereza cha billionaire?acheni utani
Tyler ni billionaireBlack huyo
Hii pinga pinga ya Lissu kuhusu miradi ya maendeleo aliyokuwa anatekeleza JPM ndio ilifanya nimuone Lissu ni kichaa tena cha ngiri. Hayo maendeleo ya watu ni yapi ambayo hayausiani na vitu? Wanaishia tu kusema maendeleo ya watu halafu hawafafanui hayo maendeleo ya watu ni yapi na maendeleo ya vitu ni yapi. Mi binafsi napenda sana upinzani imara uwepo ili uichallenge serikali iliyoko madarakani kwa hoja mbadala za maendeleo. Lakini cha ajabu kwa sasa TZ tuna upinzani wa kutukana na kukubehi bila kuleta hoja mbadala kutoka kwenye vyama vyao!Unapoongea jaribu kufikiri, asa Unakuta mtu anasema anataka maendeleo ya watu sio ya vitu, asa watu wataendeleaje bila ya vitu?? Watu wapo tena wengi, we ukiwa na Familia kubwa tayari labda mpo 15 single house, utaanza utafanyaje??
Ila Ujitahidi na wewe kutumia brain uliyonaiona, Hivi mataifa makubwa huoni kwanza inavyo invest kwenye miundo mbinu?? Au wewe unafikiri hao watu watabeba bidhaa kwa mguu mpk Congo??
Kwanini usijiongelee kwa niaba yako binafsi?
Kikwete anaonekana ni mtu mwenye mawazo sana
Huyu mzee ana maneno, eti anasema unapoona mtu asiyependa kusafiri safiri lkn amefunga safari kuja kwako lazima uji feel special, kuna jinsi alivyoiongea hyo statement ni tamu sn ila mtafsiri aliikosea basi watu wakaanza kuguna kwamba hajaitendea haki ile statement.
Staili haiwezi kuwa sawa ko wewe umeamua kuchukua hicho kipengele tuu maana kimekufurahisha.Umemsikia mama samiah alivosema kamba uzi ni ule ule na alipoishia mzee ndio wao watakapoendelea sasa usitegemee unayotegemea mm nakupa pole wa kwanza![]()
Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.Zaidi ya kuboresha miundombinu, kujenga shule, Hospital, kuwapunguzia kodi wananchi, kusambaza umeme na maji, kuongeza uzalishaji wa chakula na kudhibiti mfumuko wa bei, ni nini utaita ni ustawi wa watu?
Kama Vigagula vya Kikenya vikipiga ramli chonganishi!M7 na hata kagame wameonesha rangi zao halisi, yani wameshindwa na majirani wa mbali kabisa, nampongeza uhuru ameonesha ujirani wa kweli🙏🏿✌🏿✊🏿
Museveni atakuja wakati wake na wengine wengi wako njiani 🙂Uganda wametuma balozi wao wa Dar kumwakilisha M7. Hata hawawezi kutuma naibu rais? Hawa ndio marafiki zenu?
Uganda wametuma balozi wao wa Dar kumwakilisha M7. Hata hawawezi kutuma naibu rais? Hawa ndio marafiki zenu?
Hiyo statement ndiyo imesababisha hali hii kutokea 👇Huyu mzee ana maneno, eti anasema unapoona mtu asiyependa kusafiri safiri lkn amefunga safari kuja kwako lazima uji feel special, kuna jinsi alivyoiongea hyo statement ni tamu sn ila mtafsiri aliikosea basi watu wakaanza kuguna kwamba hajaitendea haki ile statement.