Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Sio m-tz huyo boya.Ndugu yangu mbona unapenda kuwaharibia watu siku. Kwani jukwaa ni hili tu unalolijua? Kausha basi mzeebaba au nenda upande wa siasa kule utaeleweka. Huku ata iweje hatuwezi kuwa wanyonge kwa wakenya kwa chochote kile. Hivyo tafadhari jikite kutetea nchi yako kama wewe kweli ni mtz