Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,788
CC: Tony254
sasa huyu Mh mbona haachi kukopa? Au anafanya lip service? I hear he was the best student in History!
Kwenye lugha ya Kiingereza hamna neno kama "hugest".

Jamaa weupe upstairs, halafu wakiongea na Watanzania wanaona wana hati-miliki ya ligha ya Kingereza.wacha upunga, mr London bridge is falling down!
View attachment 1732238
Kala ban.Kuna yule mjuaji anatakiwa aone hii.
Watasema ni yao, zilikuwa mbili pale juu nyingine nyeupe.Nilimwambia teargass tanzania haiwezi kuonesha kila kitu hadharani![]()
Yani mpaka naskia raha 😁😁😁
Atcl imeingiza ngapiloss over loss from 13b 2019 to 36.6b ksh
![]()
Hyo kwn imeonekana mafichoniNilimwambia teargass tanzania haiwezi kuonesha kila kitu hadharani![]()
"Hugest" bana..wacha upunga, mr London bridge is falling down!
View attachment 1732238
Atcl unashindana nayo hahah Atcl haina leased aircraft mzee 😂😂😂 nyinyi lazima loss iwatafune kwasababu muna 20 leased na muna 17 loan hapo chachaAtcl imeingiza ngapi
Jambo lisilokua na msingi sana, hta heri mngelitumi mbinu zingine
Kwn loss ni ya watu wa leased pekeake? Tena unajiskia kweli we mwarabu kokoAtcl unashindana nayo hahah Atcl haina leased aircraft mzeenyinyi lazima loss iwatafune kwasababu muna 20 leased na muna 17 loan hapo chacha
20 tuli lease wapi na hzo 17 tulichukua loan wapi na ni mwaka ganiAtcl unashindana nayo hahah Atcl haina leased aircraft mzeenyinyi lazima loss iwatafune kwasababu muna 20 leased na muna 17 loan hapo chacha