Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Huwa nafurahishwa na jinsi huyu waziri Palamagamba huwa anazungumza.
magna cum laude Juris Doctor Freie University Berlin!
Huwa nafurahishwa na jinsi huyu waziri Palamagamba huwa anazungumza.
Wengine wanalia kwavile hawana uhakika na future!sabaya alimkubali sana Magufuli View attachment 1731758
Icho ndio kingereza cha billionaire?acheni utani
Ila hata mimi sikupingi licha ya uzandiki wenu ila mko na kamapenzi na tanzania tofauti na waganda nawajua sana ni watu wabinafsiYaani hata hawa majirani zenu wanaowapenda wameshindwa kutuma naibu rais au hata waziri wa mambo ya nje? Wakatuma balozi wao aliye Dar? Na hawa ndio marafiki zenu wa karibu? Inashangaza sana
Ukimaanisha?Yaani hata hawa majirani zenu wanaowapenda wameshindwa kutuma naibu rais au hata waziri wa mambo ya nje? Wakatuma balozi wao aliye Dar? Na hawa ndio marafiki zenu wa karibu? Inashangaza sana
Wakati hawa wakenya wa JF wanapinga Tanzania kutumia pesa yake ktk miradi mikubwahaikatai
waswahili tuna msemo Akufaaye kwa dhiki ndie rafikiYaani hata hawa majirani zenu wanaowapenda wameshindwa kutuma naibu rais au hata waziri wa mambo ya nje? Wakatuma balozi wao aliye Dar? Na hawa ndio marafiki zenu wa karibu? Inashangaza sana
sasa hutaki?Acha nyege wewe
Uganda wametuma balozi wao wa Dar kumwakilisha M7. Hata hawawezi kutuma naibu rais? Hawa ndio marafiki zenu?Ukimaanisha?
Hata Mimi nimeshindwa kuelewa But haijaharibu kitu!!Uganda wametuma balozi wao wa Dar kumwakilisha M7. Hata hawawezi kutuma naibu rais? Hawa ndio marafiki zenu?