Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

D7DEE076-87FD-4C3A-81D2-3BA15350C77F.jpeg
 
Unless isiwe official media from kenya 😀😀😀👇👇👇👇👇
 
angalia resurfacing ya hiyo tar! IRMAO kampuni ya ujenzi yenye ma-engineer wametumika!! 🙆‍♂️
Hamna kampuni ya ujenzi kutoka nje iliyotumika hapa. Ujenzi huu ulifanywa na city council of Nairobi. Angalau wamejaribu maana siku hizi huku karibu kila ujenzi wa barabara na miundombinu unafanywa na kampuni za kichina. So nafurahi kila wakati ninapoona ujenzi ukifanywa na Wakenya wenyewe bila kutumia kampuni za kichina. Ni kweli quality inaweza kuwa ipo chini kidogo lakini nafurahi kwamba angalau ujenzi umefanywa na city council of Nairobi badala ya kupoteza pesa kupatia Wachina kazi.
 
Hakuna Rais mjinga wa kuongoza kwa kivuli cha predecessor,never and never.

Akupe madaraka afu uanze kuleta hadithi za sijui JPM utaenda kulima matikiti mapema Sana.

Hata huyo marehemu alifyekelea mbali wale wote waliokuwa Royal kwa watangulizi na kupanga safu za uongozi ndivyo huwa duniani kote.

Umesema vizuri waliopo sasa wahamishie pambio na royalty kwa mh.mama vinginevyo wakibaki na kiwingu cha marehemu imekula kwao na hawana cha kufanya
 
Huo ni uzalendo kwa Rais na sio kwa nchi yako na inaonesha hujawahi kuwa mzalendo kwa nchi. Kuwa mzalendo kwa nchi yako ni kwamba haijalishi nani Rais kwa wakati huo wewe mahaba ni kwa nchi tu hata ikibidi kutoelewana na viongozi wa wakati huo kama hawalindi maslahi ya nchi.
Huyo ni aina ya watu wenye itikati za Magu na wanadhani kujenga madaraja na ma sgr na mindege useless ndio ustawi wa watu eti ana maono
 
Hamna kampuni ya ujenzi kutoka nje iliyotumika hapa. Ujenzi huu ulifanywa na city council of Nairobi. Angalau wamejaribu maana siku hizi huku karibu kila ujenzi wa barabara na miundombinu unafanywa na kampuni za kichina. So nafurahi kila wakati ninapoona ujenzi ukifanywa na Wakenya wenyewe bila kutumia kampuni za kichina. Ni kweli quality inaweza kuwa ipo chini kidogo lakini nafurahi kwamba angalau ujenzi umefanywa na city council of Nairobi badala ya kupoteza pesa kupatia Wachina kazi.
sasa kama za ndani zinakosa viwango sio? Ina maana Kenya nzima miaka zaidi ya 58 haina competent companies? Rushwa inawamaliza muonage aibu ku-post utopolo kama huu! Hivi hamuoni kampuni kama Mohammed builders, Mayanga construction na Estim na nyingine nyingi za kizalendao zinafanya kazi nzuri Tanzania!
 
Back
Top Bottom