Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie ndio mnaweweseka, alafu vitu vingine vinatakaiwa uwe unafikiria kabla ya kuongea..
Sasa na yeye akisema kati ya wale wote waliofika hapo hakuna aliyetusaidia kupigania uhuru atakua kakosea..

Huaga mnatulaumu bure lkn ukweli hatukusaidiwa na yyte yule katika swala lote la kupigania uhuru wetu..
Najua kuna mtu atakuja kujibu pumba, km hujaelewa usijibu tafadhali
Kenya iko huru tangu lini?
 
sasa hutaki?
Hapo vipi
20210322_174533.jpg
 
Lkn hapo ingelikua kenyatta mgelitupigia kelele mwezi mzima..
Unafiki tu lkn ukweli mnaujua kuhusu nani rafiki na mtani wenu wa kutoka jadi
Kwani hujui kenya na Tanzania Ni ndugu...sasa nyie hamuwezi kutuacha ata iweje hata sisi vilevile. ...sema mna midomo mirefu sana haina break...mbona kumbambikia Magu magonjwa yasiomuhusu?na zile kelele alikua Nairobi zimeishia wap

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna undugu na hatuachani kwani tumeoana?
 
Back
Top Bottom