Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna Rais mjinga wa kuongoza kwa kivuli cha predecessor,never and never.

Akupe madaraka afu uanze kuleta hadithi za sijui JPM utaenda kulima matikiti mapema Sana.

Hata huyo marehemu alifyekelea mbali wale wote waliokuwa Royal kwa watangulizi na kupanga safu za uongozi ndivyo huwa duniani kote.

Umesema vizuri waliopo sasa wahamishie pambio na royalty kwa mh.mama vinginevyo wakibaki na kiwingu cha marehemu imekula kwao na hawana cha kufanya
Ww unafkiri kwa akili yako kwamba kitu gani kitabadilika ??? Hebu tuanzie hapo
 
Huyo ni aina ya watu wenye itikati za Magu na wanadhani kujenga madaraja na ma sgr na mindege useless ndio ustawi wa watu eti ana maono [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Zaidi ya kuboresha miundombinu, kujenga shule, Hospital, kuwapunguzia kodi wananchi, kusambaza umeme na maji, kuongeza uzalishaji wa chakula na kudhibiti mfumuko wa bei, ni nini utaita ni ustawi wa watu?
 
Jana uwanja wa ndege (airport) ulivamiwa na raia kutoka kila pande ya jiji,ninaamini ule uwanja haujawahi shuhudia ule umati hadi ikafika hatua ikapigwa alarm,watu wamejaa hadi kwenye runway,ikabidi itumike nguvu kuwatawanya lakini watu walikuwa wengi mno,kwanza picha linaanza mvua inanyesha kishenzi watu hawajali wanalowana umepita msafara wa mama samia raia wanaimba na kutandika nguo barabarani...amini laiti kama chato ingekuwa ni mkoa jirani watu wangeenda kwa kukimbia maana sio kwa mizuka ile ...

Hakika mzee alipendwa
 
Huyo ni aina ya watu wenye itikati za Magu na wanadhani kujenga madaraja na ma sgr na mindege useless ndio ustawi wa watu eti ana maono [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unapoongea jaribu kufikiri, asa Unakuta mtu anasema anataka maendeleo ya watu sio ya vitu, asa watu wataendeleaje bila ya vitu?? Watu wapo tena wengi, we ukiwa na Familia kubwa tayari labda mpo 15 single house, utaanza utafanyaje??

Ila Ujitahidi na wewe kutumia brain uliyonaiona, Hivi mataifa makubwa huoni kwanza inavyo invest kwenye miundo mbinu?? Au wewe unafikiri hao watu watabeba bidhaa kwa mguu mpk Congo?? Aisee
 
Mbona Toka uchaguzi mikusanyiko iko hivyo, kariakoo iko populated every single day, football stadiums and music concerts ziko parked as usual ever since
Does this justify that korona is non existing?
Another idiot.
 
😀😀😀😀






Nchi imefilisika
07DBD4FD-24E6-4A97-AA7E-81F159CA37AC.jpeg
 
Kumbe mwanasiasa, sipotezi mda wng kubishana na wasenge dizain yako [emoji116][emoji116][emoji116]


Nimefanikiwa kushawishi ndugu zangu kumpigia kura Tundu Lissu
Wewe ni taahira hilo nimeshatambua.
Hujui kwamba kile kilikuwa kipindi cha kampeni umeishia kuconclude mimi mwanasiasa.
Go f..ck yourself
 
Sikieni matusi yenyewe tu ni ujinga tosha, tatizo ni kwamba wewe unaamini korona ipo na unaiogopa, sisi tunasema ipo lkn hatuiogopi maana kuiogopa ndio ugonjwa mkubwa, wakuogopwa ni Mungu ndugu, we tuache na imani yetu, lkn ulitakiwa tu kuona km sio Mungu basi tz nusu ya nchi tungesha kufa hata we ungeona post,, chaajabu hata wapinzani hawana picha hizo maana hazipo, ss shida nn?
Hicho kimwanasiasa hicho wachana nacho.
 
Wewe ni taahira hilo nimeshatambua.
Hujui kwamba kile kilikuwa kipindi cha kampeni umeishia kuconclude mimi mwanasiasa.
Go f..ck yourself
Kanavyoongea sasa utasema kweli kanatimiza masharti ya covid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
komora096 eti hataki hiii😀😀😀😀👇👇 ikiwa watu wamekopa 132b ksh na hazijulikani nani kakopa unashangaa nn
 
Back
Top Bottom