Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.

Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.

Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk

Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.

Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?

Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema

Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.

Ndugu yangu mbona unapenda kuwaharibia watu siku. Kwani jukwaa ni hili tu unalolijua? Kausha basi mzeebaba au nenda upande wa siasa kule utaeleweka. Huku ata iweje hatuwezi kuwa wanyonge kwa wakenya kwa chochote kile. Hivyo tafadhari jikite kutetea nchi yako kama wewe kweli ni mtz
 
my take:
M7 alikuwa anasaini leo mkataba so maybe serikali yao yote ilitakiwa iwepo huko, kama unakumbuka Magu nae alitakiwa aende huko Uganda siku ya leo. M7 naamin atakuwepo chato
Mkataba huo hauwezi kuwa signed bila Tanzania kuwepo. Mkataba huo unaitwa Tripartite agreement kumaanisha kwamba ni agreement between three parties na mkataba hauwezi kutiwa saini ikiwa paty mmoja hayupo. Sherehe ya kutia saini imesongezwa mbele

Cc Geza Ulole
 
Dah! So sad
ccmtanzania-20210322-0001.jpg
 
Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.

Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.

Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk

Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.

Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?

Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema

Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.
Uhuru wa kujieleza una mipaka na hakuna jambo ambalo halina mipaka hata ndoa inamipaka, wewe ulitaka uhuru gani wakujieleza wakat huo muda unashindwa kuutumia kufanya kazi na kuangalia maisha au unataka kua kama wale vijana wasiojielewa wa twitter yuko masaa 24 twitter kuongea upuuzi ukimuuliza kuhusu maisha hana mbele wala nyuma

Tanzania ni nchi yenye unemployment rate ndogo sana east africa hali ya kua ina watu wengi kuliko nchi za east africa, mbona hilo hulioni au pia unataka ufafanuzi 😀😀

Mm nakupa ushauri mmoja fanya kazi muda wa madili ulishaisha hakuna madili tena usawa huu jitume kwenye kazi kwa bidii fungua akili yako hakuna maisha rahisi
 
Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.

Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.

Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk

Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.

Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?

Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema

Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.
Eti economic freedom wakupiga madili au😀 serekali ikiwabana munadai economic freedom na mukiibia serekali hapo hamuulizii economic freedom
 
Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.

Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.

Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk

Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.

Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?

Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema

Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.
Maneno ya mpiga dili hayajifichi 🤣🤣🤣🤣
 
my take:
M7 alikuwa anasaini leo mkataba so maybe serikali yao yote ilitakiwa iwepo huko, kama unakumbuka Magu nae alitakiwa aende huko Uganda siku ya leo. M7 naamin atakuwepo chato
Ndio amesema hvyo na alienda mpka ubalozi wetu
 
Mkataba huo hauwezi kuwa signed bila Tanzania kuwepo. Mkataba huo unaitwa Tripartite agreement kumaanisha kwamba ni agreement between three parties na mkataba hauwezi kutiwa saini ikiwa paty mmoja hayupo. Sherehe ya kutia saini imesongezwa mbele

Cc Geza Ulole
Inajulikana ukiwa unajiamini watu wanakungoja! Chaaa JPM ni level nyingine hata saahii Marehemu mradi wa bomba unangoja delegation toka Tanzania!

Even Uhuru acknowledged today "mradi wa stima" na kasema kenya ipo tayari kununua stima ya Tanzania!!

Wewe Tony254 ni kapuku gani kukataa?
CC: Tony254
 
Inajulikana ukiwa unajiamini watu wnakungoja! Chaaa JPM ni level nyingine hata saahii Marehemu mradi wa bomba unangoja delegation toka Tanzania!

Even Uhuru acknowledged today "mradi wa stima" na kasema kenya ipo tayari kununua stima ya Tanzania!!

Wewe Tony254 ni kapuku gani kukataa?
CC: Tony254

mkutano uneahirishwa. kufika kwenye FID bado. waliatakuwa wasign TTA and SHA
 
Back
Top Bottom