komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Njoo nikupe connection jomba upewe v8 saharaUnachagua media wakat zote zimesajiliwa na ni media kubwa tu kenya![]()
Njoo nikupe connection jomba upewe v8 saharaUnachagua media wakat zote zimesajiliwa na ni media kubwa tu kenya![]()
Watanzania saa zingine huwa mna ujinga sana. Mnasherehekea mtu kutovaa barakoa?Nimempenda sana our Queen kwa kutovaa barakoa
Kila kifo duniani kwa sasa ni corona na vifo vineanza kipindi cha corona inamaana waliokufa zamani ilikuaje ??? Akili zenu mumemuazima nani??? Ikiwa maradhi yote duniani yameanza wakat wa corona kabla je?? Au ndio ule msemo tumeumbwa kusahauMficha maradhi humuumbua, huo msemo tayari umekutosha..
Mie silongi zaidi ya hapo
Connection wapi hapa au😀😀👇👇👇Njoo nikupe connection jomba upewe v8 sahara
Na wewe jiongeze kidogo jamaa kungekuwa na impact ya corona tz sio laisi viongozi kurisk maisha yao hali ya hewa inatufavor kiasi fulani so usichukulie kama uko kwenuWatanzania saa zingine huwa mna ujinga sana. Mnasherehekea mtu kutovaa barakoa?
How do you justify that it does exisist?Does this justify that korona is non existing?
Another idiot.
Go to Muhimbili and see yourself.How do you justify that it does exisist?
I work at Muhimbili and there is nothing.Go to Muhimbili and see yourself.
You are lucky to work at muhimbiliI work at Muhimbili and there is nothing.
Mchawi kapewa mtoto! afanyaje?Uhuru ametoa speech nzuri.
Geza Ulole unaona Kenya tunavyowapenda?
Kanachambua nini? Mchele?kachambuzi uchwalaa dah kuna watu akili wameshikiwaa
![]()
Hahaha wewe hata Mkenya akikupa $1 million, utaitupa kwenye choo eti kwa sababu pesa yenyewe imetoka kwa Mkenya.Mchawi kapewa mtoto! afanyaje?
Kwasababu haina impact yyte ktk kukabiliana na tatizo.Watanzania saa zingine huwa mna ujinga sana. Mnasherehekea mtu kutovaa barakoa?
Kwn kwao kuna tatizo gn? Au kuna hali ya hewa gn? Hakuna corona wala nn watu wanakufa kwasababu ya njaa, hyo corona ni politics tu cz Uhuru kachukua pesa za watu.Na wewe jiongeze kidogo jamaa kungekuwa na impact ya corona tz sio laisi viongozi kurisk maisha yao hali ya hewa inatufavor kiasi fulani so usichukulie kama uko kwenu