Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Ni vizuri kuonyesha undugu na upendo kwa majirani. Ni vizuri amekuja.
Hana ushawishi.Marais wa SADC naona wametinga, Rais wa Kenya sidhani kama atakuja.
Mama hataki kuleta taharuki, huyo alikuwa karibu sana na Magu anajua siri zote za ulimwengu kuhusu hii hyped disease.mama Samia kutovaa barakoa maana yake wembe ni uleule.. anaendelea alipoishia Magu
Nimempenda zaidimama Samia kutovaa barakoa maana yake wembe ni uleule.. anaendelea alipoishia Magu
Nimempenda sana our Queen kwa kutovaa barakoaMama hataki kuleta taharuki, huyo alikuwa karibu sana na Magu anajua siri zote za ulimwengu kuhusu hii hyped disease.
Umepanic[emoji1787][emoji1787]Ukiza government ya kenya na jubilee je wanaijua au laa??[emoji3][emoji3]
Pia nimependa TV kubwa zote za Kenya zinaonyesha live toka Dodoma. Tz tunaheshima kubwa isipokuwa washenzi wachache wanahusudaNimempenda sana our Queen kwa kutovaa barakoa
Mbona kashasema tayari 😅😅😅mama Samia kutovaa barakoa maana yake wembe ni uleule.. anaendelea alipoishia Magu
Yani media ya kenya tena ni official kabisa mtu haitaki 😂😂😂😂😂 na imesajiliwa na serekali ya kenyaUmepanic[emoji1787][emoji1787]
Wataitwa akina citizen kw press au ni hao vibwengo ambao hta magazeti hamsini kw siku hawatoi
😂😂😂😂 umepanic mzeeNjoo na wewe uolewe
Official media ndio nini[emoji1787][emoji1787]Yani media ya kenya tena ni official kabisa mtu haitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na imesajiliwa na serekali ya kenya View attachment 1731566
Tuseme na hii huitaki 😂😂😂👇Njoo na wewe uolewe