Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Umeona mpaka nimeshangaa🙄🙄🙄🙄Huyu Nyusi Rais wa Msumbiji anaongea kiswahili kizuri kushinda Nyangau Uhuru
Umeona mpaka nimeshangaa🙄🙄🙄🙄Huyu Nyusi Rais wa Msumbiji anaongea kiswahili kizuri kushinda Nyangau Uhuru
Umeona mpaka nimeshangaa![]()





Nyie ndio mnaweweseka, alafu vitu vingine vinatakaiwa uwe unafikiria kabla ya kuongea..Hehehehehe huyu Cyril Ramaphosa ametaja nchi zilizoisaidia SA kupata uhuru kataja zote ila Kenya haipo alafu kamalizia na baba lao Tz. Dah Uhuru kama namuona alivyojisikia aibu![]()
Povu la nini sasa mkuu.. mwambie arudi shuleAcha nyege wewe
Wabongo mna akili ndogo sana, mmeshasahau media hizo hizo za Kenya zinavyomkashifu Magufuli mpaka saivi?Pia nimependa TV kubwa zote za Kenya zinaonyesha live toka Dodoma. Tz tunaheshima kubwa isipokuwa washenzi wachache wanahusuda
Vipi tena??Kariokoo kuna nini![]()
Naskia kuna vurugu😟 Ila sijui imesababishwa na niniVipi tena??
Unachagua media wakat zote zimesajiliwa na ni media kubwa tu kenya😀😀😀Kwhyo kuolewa hutaki tena![]()
Kwa vile kifo kimeanza jana watu walikua hawafi ndio mzungu kawaaminisha kua kila anaekufa sasa ni corona hakuna kifo bila corona 😀😀😀😀 kazi munayo nyinyiHyo vaccine atadungwa mzee baba hata kw kisiri siri, manake kilichomua jiwe kati ya wale wachache wanaoujua ukweli yeye pia yumo..
Sisi wengine ni wanenguaji plus wapinzani, yani tutavutana mpaka kiama lkn hatutokuja kuujua ukweli kw kina..
Wengine watakuja piga kelele hapa, lkn km itakua hujaelewa usijibu tafadhali..
Nyusi kalelewa tanzania na kasomea tanzania broUmeona mpaka nimeshangaa🙄🙄🙄🙄
Ama kweli Tanzania ni Baba Lao👏👏 hakuna mfano na wala hautatokea Viva siempre Magufuli Viva Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Nyusi kalelewa tanzania na kasomea tanzania bro
Anamvuta mama samia kupitia mgongo wa imani yake.Amenishangaza sn katulia kama dk kadhaa ndo anaendelea saizi.
Mficha maradhi humuumbua, huo msemo tayari umekutosha..Kwa vile kifo kimeanza jana watu walikua hawafi ndio mzungu kawaaminisha kua kila anaekufa sasa ni corona hakuna kifo bila coronakazi munayo nyinyi
Chezea nyangau weweAnamvuta mama samia kupitia mgongo wa imani yake.

