Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JWTZ inavutia na kupendeza
66B14066-0E64-4BED-ACAF-9E7994290FF8.jpeg
 
Magu alikua na personal hate towards kenya hio si kitu cha kupingana, kile hakujua ni kwamba kenya and tanzania is bigger than him.

Kuna ubigger gani kenya na Tanzania

Magu kunakitu alifeli ningekuwa mimi ndo presidaa ningechora ramani ya Afrika upya halafu Kenya ningeweka bahari na ndo ramani ambayo ingetambuliwa na sehemu zote za kielimu Tanzania
 
Magu alikua na personal hate towards kenya hio si kitu cha kupingana, kile hakujua ni kwamba kenya and tanzania is bigger than him.

Kwa chuki niliyonayo sasahivi hata nikipewa urais siwezi kuukubari maana nitaleta vita kubwa nitaifanya Tanzania nchi yangu kuwa masikini kwa kununua manyukria ya kuwalipulia hawa Nyang'au
 
Dah !!! Kuna mda kuwasha tv unaona kazi. Bora wampuzishe it's very sad . Naona tabu hata kuangalia tv. Apumzike kwa amani chuma. Magufuli kawaasha sana wakenya walikua wanafanya project za kihuni wanaita Chinese class one , mara superhighway yaani magu ni kama wake up call kwa nyang'au. Kawaamsha sana
 
Back
Top Bottom