msikilizen huyu mama.. Mhe. Samia. yuko vizurzipo mbili
asee wembe ni uleule![]()
We **** naomba usini quote tena.
So sad aisee

Mama wanampa na mpini kabisa Mwenyekiti wa CCM Taifa.. wanamuamini Sana au ndo kuonyesha democracy imekomaa kwenye Chama?Ila mnajua mkate wa Majaliwa utategemea how loyal is he to Samia and based on how closed they work last 5 years no one can be sure! Watu mnaongea kama Majaliwa is assured of that seat! The next 1 year tutaona mengi kwa vile hulka ya binadamu hupenda kuwa na wasaidizi aliochagua mwenyewe ambao ni 100% loyal! Ukiacha Uwaziri Mkuu kuna sehemu nyeti kama Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi! Sishangai akiwabadili!
Katiba ya chama cha Mapinduzi inasema hivyo Rais wa nchi ni lazma awe mwenyekiti wa chama pia!Mama wanampa na mpini kabisa Mwenyekiti wa CCM Taifa.. wanamuamini Sana au ndo kuonyesha democracy imekomaa kwenye Chama?